Posts in category

LIFE


Nilipofungua ukurasa wangu wa facebook miezi kadhaa iliopita. Hiki ndicho nilichokiona. Picha ya msichana  ambaye amevaa miwani ya rangi nyeusi, Anatabasamu, anaonyesha meno yake meupe, anaonekana yuko huru, anaonekana mwenye …

0 36

Mwisho wa siku utajikuta uko mwenyewe. Mpenzi wako na rafiki zako wanaweza kuwepo pale unapowahitaji, lakini hawatakuwa na uwezo wa kuelewa kila kitu kinachoendelea maishani mwako, Hawataelewa mawazo uliyonayo

0 34

Yote yanaanzia hapa. Ili konteina lako liwe  salama  ni muhimu  liwe wazi. Kumbuka kuwa conteina lako ni Akili, Hisia,  na maisha ya mwili wako ni nafasi  iliokuzunguka  ili kukulinda  unapokua.

0 51

Nimeona mara nyingi kuwa watu  wanaangalia maisha  ya wengine, hisitoria zinajirudia, mara nyingi. Hata mimi nimejitahidi  kuepuka  hayo . lakini nimeamua  kufika mwisho  kwa ajili ya kutengeneza maisha ya baadae.

1 39

Muda Hautoshi hata siku moja. Muda hautoshi kwa kila mtu kukamilisha kila kitu anachokitaka, Hakuna muda wa kutosha kuanza kujaribu kuwa na furaha. Kila mara kuna kitu kikubwa, wakati mwingine …

0 34

Siwezi kufikiria  jinsi maisha yangu yalivyobadilika  kwa njia ambayo nilifikiria kuwa. Nilikuwa na hiyo taswira  ya mambo mengi , Na kila kitu kinatokea katika maisha yangu

0 36

Hii ndio hasa mtu anapomaanisha wakati anaposema  Sijambo. Kwa mtu yeyote ambaye anasumbuliwa na tatizo lolote la kiafya au tatizo lingine,  mara nyingi huwa ni ngumu kujielezea  wanapoulizwa wanajisikiaje. Mawazo …

0 34

Woga Wa Kufanya Maamuzi Kitu ambacho natakiwa kuacha ni woga wa kufanya maamuzi. Na hitaji kushughulikia hali hii kwa ujasiri , ni kitu kinachofahamika kama  mashaka yangu mwenyewe. Mungu anataka …

0 34

Utakuwa Umewahi kusikia au unasikia watu wakijilaumu kuwa hakufanya kitu hiki akiwa na nguvu zake. Mfano ;Hakujua nini cha kufanya mapema kabla ya kufikia umri alio nao sasa. Lakini Wangapi …

0 34

Tunatumia muda mwingi kuongea na wataalamu walimu mbalimbali , lakini  inawezekana  ukawa mteja mzuri? natumia neno uhuru mzuri,  bila shaka  mteja anawekeza kwenye huduma , na mtaalam anahusika  kwa kutoa …

0 38