Category live 93 articles to read

Unahitaji Kuishi Sio kuwepo

[caption id="attachment_5488" align="aligncenter" width="640"] ishi[/caption] Unastahili kuishi. Na zaidi ya hio , unastahili  kustawi. Kutabasamu. kucheka. Kupaa. Unahitaji na unastahili kuishi maisha marefu  yenye maana kamili sio maisha ya kujilaumu kila siku.

Anza Kusafisha Moyo Wako Kupokea Yalio Mapya

Msamaha ni zawadi  tunayotoa kwa ajili yetu wenyewe. Msamaha hauhusiani na jinai au uhalifu wa  makosa ya mtu. Ni kuhusu kuondoa mizigo ilopo ndani yako mwenyewe ili usiwe muathirika.

Ufanye Mwaka 2018 Uwe Mwaka Wa Tofauti Kwako Kwa …

[caption id="attachment_5311" align="alignnone" width="640"] Upendo wa kweli unaanzia ndani yako.[/caption] Ufanye mwaka ujao kuwa mwaka wa tofauti kubwa kwako. umekuwa ukienda mbio kupita kiasi, Geuka , rudisha Gari yako na uanze kutumia muda wako vizuri kuanzia sasa hivi.

Kama Hujui Kitu Cha Kufanya Maishani Mwako Soma Hii

Wakati mwingine kwenye maisha tunajikuta tumefika mwisho. Hatuwezi kusogea. hujui ni wapi pa kuelekea. Haijalishi upo stage gani kwenye maisha yako, kama hufurahii ulichonacho, au huna uhakika katika kuendelea nacho, unahitaji utathimini upya.

Tambua Uwezo Wako Ili Kutimiza Kusudi

Kila samaki  anao uwezo wa kuogelea lakini anahitaji mazingira sahihi. Kila kiumbe kina uwezo usiozuilika  kwa ajili ya kupata mafanikio maishani mwake, lakini kitu kikubwa anachohitaji ni maarifa na sehemu sahihi.

Acha Kujilinganisha Na Wengine

Ingawa tunaishi katika  hali ya kujilinganisha au kujifananisha , Hii hali itahitaji mafunzo makini ya ubongo, lakini kusema kweli unahitaji kuacha tabia hii mbaya ya kujifananisha na mwingine

Mambo 10 Watu Wenye Ujasiri Huyafanya Ili Kuwa Na Maisha Bora

1.Wanafahamu Umuhiumu wa mitazamo  mizuri. Ukiwa mtu wa mitazamo mizuri  hasa kwa kila kinachoendelea katika maisha yako, Kila unachovutia ni kizuri . Haushughuliki na mambo mabaya .Mtazamo wako ndio uchaguzi wako  na umewafanya wengine wajisikie vizuri katika uwepo wako

Msingi Wa Siri Uliojificha Ndani Yako

Kuishi maisha ya uhuru na kuachana na yaliopita, Ni vizuri kuangalia mpangilio uliopo ndani ya mhariri wako wa ndani. Fikiria kuhusu  umakini wa kuchagua kila unachotaka kukifanya. Kuoa, kuolewa, kazi, mazingira, afya,hisia , tabia...