Ufanye Mwaka 2018 Uwe Mwaka Wa Tofauti Kwako Kwa …

Ufanye mwaka ujao kuwa mwaka wa tofauti kubwa kwako. umekuwa ukienda mbio kupita kiasi, Geuka , rudisha Gari yako na uanze kutumia muda wako vizuri kuanzia sasa hivi. Acha uwe mwaka wa kupata ufahamu wa...

Tambua Uwezo Wako Ili Kutimiza Kusudi

Kila samaki  anao uwezo wa kuogelea lakini anahitaji mazingira sahihi. Kila kiumbe kina uwezo usiozuilika  kwa ajili ya kupata mafanikio maishani mwake, lakini kitu kikubwa anachohitaji ni maarifa na sehemu sahihi. Mafanikio. Ukitaka kujua kuhusu kuzaa ni...

Acha Kujilinganisha Na Wengine

Ingawa tunaishi katika  hali ya kujilinganisha au kujifananisha , Hii hali itahitaji mafunzo makini ya ubongo, lakini kusema kweli unahitaji kuacha tabia hii mbaya ya kujifananisha na mwingine Acha kuingiza sumu hii mbaya kwenye ubongo...

Mambo 10 Watu Wenye Ujasiri Huyafanya Ili Kuwa Na Maisha Bora

1.Wanafahamu Umuhiumu wa mitazamo  mizuri. Ukiwa mtu wa mitazamo mizuri  hasa kwa kila kinachoendelea katika maisha yako, Kila unachovutia ni kizuri . Haushughuliki na mambo mabaya .Mtazamo wako ndio uchaguzi wako  na umewafanya wengine wajisikie...

Kuamini Mioyo Yetu Na Silika Zetu

Wote tunatamani kujiamini. Tunataka kuamini kwamba ipi misingi  ya wema  ndani yetu, Uwezo wa kupenda, kuwa wakweli, kuwa na Hekima na kuhudumia  Ulimwengu wetu. Ukweli uliopo ndani yetu unatuathiri maisha yetu. Unaharibu umuhimu wa  kupenda...

Mambo 12 Unahitaji Kujinenea Kila Siku Ili Uishi Maisha Bora

Kuna negatives nyingi Ulimwenguni. Tunahitaji kujilinda wenyewe kwa kujinenea maneno mazuri Wengi wetu  tunajilazimisha kuishi katika maisha ya ukamilifu ili kujisikia vizuri. Niko hapa kukuambia kuwa Wewe ni mtu pekee unayeweza kujielezea  na kuwa mtu...

JIWEKE VIZURI UWEZE KUVUTIA MAHUSIANO YEYOTE

Kutokamilika  inapokuwa ni bora kuliko kukamilika Unapojisikia vizuri  inakufanya uvutie wengine.Kwa kuwa unajipenda, maisha yanakuwa rahisi na mahusiano yanakuwa rahisi zaidi na kupendeza Hautumii muda wako kwa kugesi kitu gani wengine wanafikiria juu yako, na mahali...

ACHA KUPOTEZA MUDA KWENYE MAHUSIANO YASIO SAHIHI NA MAMBO YASIO SAHIHI

Kama kweli unafikiria kuhusu hilo, ni kiasi gani cha nguvu unazoziweka kwenye kazi zako za kila siku,hali halisi na watu ambayo hawana faida katika maisha yako? Ni wakati wa kubadilika. hapa kuna mambo 30 ambayo...

Huhitaji Kuomba Msamaha Katika Mambo Yalio Kweli Kwako

Kama unajielewa na kuwa na  uhakika wako mwenyewe, halafu unafahamu kwamba sio kila mtu maishani mwako anaweza kukubaliana au kukusaidia  kwa kila maamuzi unayofanya. Watu watakujaji tu, iko hivyo, lakini haina maana kwamba uanze kuomba...

MAMBO 6 YANAYORUDISHA NYUMA FURAHA YA KWELI:

Furaha. ukiangalia kwa msingi hasa ni zao la mawazo yako, ni matokeo ya nguvu ya ndani zaidi kuliko nje.kutokuridhika ni matokeo ya mitazamo yenye sumu, sio mazingira  kuwa haramu. Hebu tuangalie mambo 6 ambayo yanaweza...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article