MAAMUZI YAPI YATAKUFANYA UBADILISHE MAISHA:

Kila siku umekuwa na mawazo ya kubadili maisha yako na kuna mambo ambayo unatamani kufanya ili ubadilishe maisha.Ni jinsi gani basi utaweza kubadili maisha yako?,kuna vitu vya muhimu vya kufanya ili uweze kubadilisha maisha...

ZIKO FAIDA NYINGI ZA KULALA UCHI PENGINE HUZIJUI:

Kulala ni kitu cha muhimu sana  ambacho huwa tunakifanya kila siku  usiku. Kupata muda sahihi wa kulala na ni mara ngapi haihesabiki na kiasi cha faida,  na sio kulala  usingizi wa kutosha. kuna hili...

NI VITU VYA AJABU; PENGINE HUJUI KUHUSU MWANAMKE:

Kama wewe ni mchunguzi wa mambo utakubaliana na mimi kuwa  wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume.lakini je tunafahamu nini  tofauti ya mwanamke na mwanaume? hapa nina maelezo ambayo  ni ya kweli  nimepata kuhusiana na...

JINSI YA KUONDOA SUMU YA WASIWASI NDANI YA MAISHA YAKO:

Wasiwasi, mashaka , hofu  limekuwa ni janga la  dunia. Tuna wasiwasi ya kwamba watu wanatufikiriaje, kwa kila tunachofanya. Tuna hofu ya kujishuku kuwa watu wanajisikiaje tukifanya hiki. Tunaogopa maisha yanayokuja. Tunaogopa hata maisha yaliopita tayari. Tunaishi kwa kuhofia vitu...

NJIA 10 ZA KUMSADIA MTU ANAEPENDA KULA :

Kuna watu wengi wanapenda  kupungua bila kuacha kula, tunapenda kula vyakula vyenye wanga kila siku, na tunapenda kula nyama nyingi kila mlo. lakini pia inawezekana kupungua endapo utafanya mazoezi  magumu kwa muda mrefu ili...

JINSI YA KUWA BEAUTIFUL, YOUNG, NA WA KUVUTIA KWA MUDA MREFU.

  Kila siku  wanawake wengi wanachukua hatua ya  kuhakikisha  wanaonekana wazuri kupita jana yake, na katika muda wote. Inapokuwa hakuna  suluhisho  kamili kwa kila mmoja,wanapata mahangaiko ya  kutafuta wafanyaje, basi  hapa kuna  kitu cha pamoja...

JINSI YA KUACHA KUWAZA MAWAZO HASI NDANI YAKO SASA HIVI

Wewe ni moja ya wale watu  ambao, kama mimi, wakati mwingine, mara nyingi, hujisemea maneno mabaya?  Kujisema maneno ndani  ya kichwa chako  hio sauti  ambao hata hungeweza kumwambia mtu unae mpenda na kumjali? Lakini...

MAMBO 6 YANAYORUDISHA NYUMA FURAHA YA KWELI:

Furaha. ukiangalia kwa msingi hasa ni zao la mawazo yako, ni matokeo ya nguvu ya ndani zaidi kuliko nje.kutokuridhika ni matokeo ya mitazamo yenye sumu, sio mazingira  kuwa haramu. Hebu tuangalie mambo 6 ambayo yanaweza...

UNAWEZA KUPENDA NA KUPENDWA UNCONDITIONALLY:

Unataka   kuwapenda wengine. Unataka  watu wakupende wakati wote unapofanya vizuri na kusema vizuri? unataka watu wakupende hata unapokuwa umefanya vibaya na kusema vibaya pia? unataka muda wote  kujua kama unapendwa,  hio ni  hali...

FAHAMU DALILI 15 ZA WATU NEGATIVE

Kupungukiwa na tumaini, kushindwa na kutoamini, na wasiwasi ni sumu yenye mchanganyiko wa cocktail. Unaweza kushangaa ni jinsi gani mtu moja anaweza kupona ndani ya hivyo vitu! Bado, watu negative wapo katikati yetu na ni...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article