HII ITABADILISHA MTAZAMO NA FIKRA ZAKO

Sehemu kubwa ya maisha yangu nimetumia  katika kucheza kwenye kona ya positive na negative. wakati uliopita. nilijikuta nikiwa na furaha na huzuni kwa wakati mmoja. Niliamini katika kutafuta shina la hamu yangu. Nilikutana na zoezi...

ZIKO FAIDA NYINGI ZA KULALA UCHI PENGINE HUZIJUI:

Kulala ni kitu cha muhimu sana  ambacho huwa tunakifanya kila siku  usiku. Kupata muda sahihi wa kulala na ni mara ngapi haihesabiki na kiasi cha faida,  na sio kulala  usingizi wa kutosha. kuna hili...

Mungu Anataka Ujue Jinsi Ya Kujipenda

Umuhimu wa kujipenda ni wazo la Mungu mwenyewe. Ni kitu kimoja kigumu. Mungu anatutaka tuwe hivyo kuliko mawazo yetu  yanavyotunyonya na kushindwa kuwepo katika usalama. Mungu anaumia anapokuona huna furaha, hujipendi. Lakini kwa upande mwingine...

UNAWEZAJE KUIDHIBITI STRESS ILI UJISIKIE KUWA NA UTULIVU ZAIDI

Dhiki hii ni kitu fulani ambacho tunahitaji kuepukana nayo kwenye hisia zetu ambazo hazipo. Maisha ya siku hizi ni busy, kila kitu busy.Na kiasi cha stress kinakuwa juu kwa hisia za ambazo sio  za kawaida Watu...

KUWA NA RAFIKI NI MUHIMU KWA AFYA YAKO:

    Afya inaletwa na mambo mengi ukifuatilia  utaona  namna ambavyo afya inajihusisha na aina nyingi  ya  vitu katika maisha ya mwanaadamu, hapa tunaona ni jinsi gani rafiki anweza kuwa ni sababu tosha ya afya yako....

JINSI YA KUACHA KUWAZA MAWAZO HASI NDANI YAKO SASA HIVI

Wewe ni moja ya wale watu  ambao, kama mimi, wakati mwingine, mara nyingi, hujisemea maneno mabaya?  Kujisema maneno ndani  ya kichwa chako  hio sauti  ambao hata hungeweza kumwambia mtu unae mpenda na kumjali? Lakini...

MWENDELEZO WA KUANZA KUJIJALI NA KUJIPENDA

Ni kawaida tunaposikia kujijali na kujipenda , tunafikiria maana ya kupaka kucha rangi na kujipodoa na kuvaa vizuri au kuoga maji moto vizuri na hata kufanya kitu fulani kwa ajili ya kujiweka sawa mbele...

HII NDIO HASWA MOYO WAKO UNAHITAJI KUSIKIA

Wakati Ulimwengu unapolia ndani yako na kukuacha na mpasuko wa wema, wakati ambapo unaona ulimwengu haukufanyii haki, Nataka Ukumbuke hili kuwa, Unahitajika Wakati wanapokudharau na  kukucheka  na kukufanya ujisikie kama  uko tofauti na  huna umuhimu,...

Anza Kusafisha Moyo Wako Kupokea Yalio Mapya

Msamaha ni zawadi  tunayotoa kwa ajili yetu wenyewe. Msamaha hauhusiani na jinai au uhalifu wa  makosa ya mtu. Ni kuhusu kuondoa mizigo ilopo ndani yako mwenyewe ili usiwe muathirika. Niliwahi kusikia watu wakisema kuwa , Kukataa...

TABIA MOJA YA KUSHANGAZA ILINISAIDIA NIPUNGUE UZITO KIASI KIKUBWA

Nikiwa mdogo kabisa , miaka 21, nilipata kundi langu mwenyewe  la watu 25 ambao tulikuwa tukifanya kazi ya kuuza  vifaa, ilikuwa ni kazi ngumu sana. Na haikuwa tu kwa sababu ya kukosa uzoefu , ila...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article