FANYA MAAMUZI KATIKA MAISHA.

Sababu ambazo hutufanya  tusiwe na msimamo katika  maisha na kukosa  furaha ni kutokuwa na maamuzi mazuri. Nimekuwa nikihisi ,kama rafiki yangu akifanya jambo , basi hujisikia vibaya na kukosa amani , maisha yangu yalikuwa yakionekana...

jifunze kutafakari juu ya maisha yako:

Tuanze na swali,  Mimi ni nani?   Ili kutengeneza maisha yako vizuri lazima uwe na maswali  ya kujiuliza ,.chukua muda sasa jiulize mwenyewe  mimi ni nani, kisha chukua karatasi  andika majibu utakayopata  kwenye karatasi yako. orodhesha...

kwa nini watu wakawaida huwasema vibaya watu maarufu

Ni kawaida watu maarufu kujulikana kila kona , yaani kila sehemu akipita  kwa sababu ya  kazi yake  anayofanya ndio inamfanya awe maarufu. haijalishi ni kazi ya aina gani ,iwe wasanii, wafanyabiashara wakubwa  , nasemea...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article