Posts in category

live


  Ukijipenda usitegemee kupendwa , tunaweza kuwa na hali fulani ya kuwa najipenda ili watu wanipende , ndio,lakini usijihakikishie hivyo , kwa sababu  inawezekana kabisa kuwa kujipenda wengine  huleta hali …

1 36

Siku ya jana ilikuwa ya kufurahisha  , nilifanya mambo mengi mazuri ya kimaendeleo . na tena ilikuwa ni siku nyepesi kwangu  na nilikuwa na nguvu za kutosha , na hamasa …

2 72

Sababu ambazo hutufanya  tusiwe na msimamo katika  maisha na kukosa  furaha ni kutokuwa na maamuzi mazuri. Nimekuwa nikihisi ,kama rafiki yangu akifanya jambo , basi hujisikia vibaya na kukosa amani …

2 58

Tuanze na swali,  Mimi ni nani?   Ili kutengeneza maisha yako vizuri lazima uwe na maswali  ya kujiuliza ,.chukua muda sasa jiulize mwenyewe  mimi ni nani, kisha chukua karatasi  andika …

2 34

Ni kawaida watu maarufu kujulikana kila kona , yaani kila sehemu akipita  kwa sababu ya  kazi yake  anayofanya ndio inamfanya awe maarufu. haijalishi ni kazi ya aina

0 35