Mungu Anataka Ujue Jinsi Ya Kujipenda

Umuhimu wa kujipenda ni wazo la Mungu mwenyewe. Ni kitu kimoja kigumu. Mungu anatutaka tuwe hivyo kuliko mawazo yetu  yanavyotunyonya na kushindwa kuwepo katika usalama. Mungu anaumia anapokuona huna furaha, hujipendi. Lakini kwa upande mwingine...

Kuamini Mioyo Yetu Na Silika Zetu

Wote tunatamani kujiamini. Tunataka kuamini kwamba ipi misingi  ya wema  ndani yetu, Uwezo wa kupenda, kuwa wakweli, kuwa na Hekima na kuhudumia  Ulimwengu wetu. Ukweli uliopo ndani yetu unatuathiri maisha yetu. Unaharibu umuhimu wa  kupenda...

Upweke Na Tabia Ya Mtu

Upweke ni hali inayoweza kumpata kila mtu , Kuelewa tabia ya mtu  inaweza kuwa ni muhimu. Ulimwengu umejaa njia nyingi za kujiunganisha. Unaweza kuongozana na mtu yeyote unayemtaka kwa siku nzima.  Nyakati hizo ambazo unakuwa...

Kuachilia Utakutana Na Mambo Makubwa Katika Maisha Yako.

Kuachilia  kunaleta furaha ya tofauti. utakutana na uponyaji wa kila kitu. na kama ukitenda  yale mazuri na kuyapenda utaona ukifunguliwa na kuwekwa huru katika mambo yako yote Bila ya kuachilia hutafunguliwa , hutajengeka kama mara...

Mambo 12 Unahitaji Kujinenea Kila Siku Ili Uishi Maisha Bora

Kuna negatives nyingi Ulimwenguni. Tunahitaji kujilinda wenyewe kwa kujinenea maneno mazuri Wengi wetu  tunajilazimisha kuishi katika maisha ya ukamilifu ili kujisikia vizuri. Niko hapa kukuambia kuwa Wewe ni mtu pekee unayeweza kujielezea  na kuwa mtu...

Mimi Ni Nani Na Kwa Nini Niko Hapa?

Kuelewa mitazamo iliopo ya kibinadamu. Mara nyingi nimejiuliza  kuhusiana na mitazamo  iliopo ya kibinadamu. Kwa urahisi, Inatokana kwenye chanzo  cha neno ''uwepo ''wa binadamu. Kuwepo kwa binadamu ni katika uchunguzi wa maisha. Ni kwamba tunaishi. tupo...

DALILI 10 ZINAONYESHA KUWA UNAJICHUKIA BILA KUJIJUA

Wote tunajua kuwa kujichukia ni rahisi kuliko kujipenda. kidogo unafahamu, tabia zako za kila siku zingekuonyesha kama unajipenda au hujipendi. Hapa kuna dalili ambazo zitakujulisha kuwa unajichukia hata  hujui na unahitaji kubadilika haraka . 1.Umekuwa ukizingatia...

HII ITABADILISHA MTAZAMO NA FIKRA ZAKO

Sehemu kubwa ya maisha yangu nimetumia  katika kucheza kwenye kona ya positive na negative. wakati uliopita. nilijikuta nikiwa na furaha na huzuni kwa wakati mmoja. Niliamini katika kutafuta shina la hamu yangu. Nilikutana na zoezi...

NJIA 11 ZA AFYA KWA AJILI YA KUTULIZA WASIWASI WAKO

Kila kitu kinaweza kwenda vibaya, na kila mtu huhitaji utulivu hata mara moja katika mlolongo wa shughuli zake za kila siku. Lakini unaweza kuona kuwa kila  kitu hakikai sehemu yake kama unavyotaka. Unahisi kama upo...

KWA NINI WATU HUJIHISI KUPOTEA MAHALI KATIKA MAISHA

Watu wengi hujisikia kupotea , hata mimi mara nyingi  najiona kupotea mahali fulani katika maisha yangu. Tena  bado napotea. Huenda umepotea katika mahusiano,kazi,  wewe mwenyewe, hauko peke yako. Lakini pia wengi tunakuwa hatujajua kusudi la...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article