Posts in category

live


Kila kitu kinaweza kwenda vibaya, na kila mtu huhitaji utulivu hata mara moja katika mlolongo wa shughuli zake za kila siku. Lakini unaweza kuona kuwa kila  kitu hakikai sehemu yake …

0 55

Watu wengi hujisikia kupotea , hata mimi mara nyingi  najiona kupotea mahali fulani katika maisha yangu. Tena  bado napotea. Huenda umepotea katika mahusiano,kazi,  wewe mwenyewe, hauko peke yako.

0 44

Wakati Ulimwengu unapolia ndani yako na kukuacha na mpasuko wa wema, wakati ambapo unaona ulimwengu haukufanyii haki, Nataka Ukumbuke hili kuwa, Unahitajika

0 50

Wote tumekuwepo huko. Katika nyakati mbalimbali za maisha, tunapigana, tunachanganyikiwa na kupotea njia. Hatujui tunahitaji  kitu gani cha kufanya katika maisha  yetu. Tunapoteza mwelekeo  tunashindwa kusogea, Kwa kuogopa kuwa maisha …

0 74

Mapenzi ya kweli ni  kuhusu makubaliano ya kila mmoja na kujifunza zaidi ya hayo. Moja ya vitu vingi ambavyo wanadamu huvitafuta katika maisha yao ni mapenzi ya kweli.kwa maneno mengine …

0 43

Watu wanasema upendo ni kitu chenye nguvu Ulimwenguni  kwamba unaweza kushinda kila kitu na hicho ndio kitu ambacho watu wanakitafuta

0 68

Akili yako inaendelea kushambuliwa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine  kutoka kwenye aina zote za fikra.

0 44

Mfundishe binti yako haya, au binti jifunze haya. Kuna mazungumzo mengi kuhusu mwonekano na  mitindo kuhusu vijana wetu wa sasa.

0 53

Badilisha hasira kwa upendo na  kutazama  kwa mtazamo wa kujihurumia  wewe. Mtu kufanya msamaha kwa ajili yake ni tatizo. Kuna mifano ya watu ambao ni sugu kama madictator ambao  wana …

0 48

Kila mtu yuko vitani. Na ni ngumu karibu muda wote. Kushindwa, kukata tamaa, kuchoka… nyakati zote hizi ni ngumu na huondoa hamu ya maisha yetu.

0 54