Category mahusiano 220 articles to read

Unahisi Umefungwa Kwenye Mahusiano Mabaya?

Bila uhuru na mipaka ndani ya mahusiano  unaweza kuzimia wakati wowote hasa kama wewe  huwezi kupigana na maadui wadogo wadogo ndani yako wanaokupigia kelele nyingi ambazo hazina maana.

Utajuaje Kama Mwenza Wako Hakupendi

Tofauti kati ya kupenda na kuwepo katika upendo. Mungu ameagiza Upendo kwa kila mtu. tena aliagiza kumpenda jirani yako kama nafsi yako. Mungu anataka ujipende kwanza wewe ndipo utatambua jinsi ya kumpenda mwingine. Linda moyo wako kuliko chochote ukilindacho hapa Duniani.

Tofauti Kati Ya Urafiki Wa Kawaida Na Urafiki Wa Kimapenzi

[caption id="attachment_5554" align="alignnone" width="626"] Wenza wakiwa wametabasamu na wakijadili jambo[/caption] Kwa miaka miwili sasa nimekuwa nikifundisha  mahusiano  kwa  kulenga Nature ya Binadamu. Pia natamani kuingia ndani zaidi ili kuboresha  mahusiano ya kila aina. 

Kwa Nini Unadhifu Wa Mwanaume Humfanya Kuwa Mwenza Mzuri

Unadhifu wa mwanaume ni ubora wa mahusiano yako. Kuwa na mwanaume mwaminifu  unaweza kuwa na mahusiano ya kudumu. Inapokuja kuchagua mwanaume ni bora kujua  aliye smart kiakili.

Siri Za Kudumisha Mahusiano Yako

Jinsi ya kuyafanya mahusiano yako yadumu. Asilimia kubwa ya watu wanaouliza  kuwa, wanawezaje kudumisha mahusiano yao? Zifuatazo ni mbinu 3.