Hivi Unajua Nguvu Ya Mahusiano Huja Baada Ya Kujaribu Upendo Huu

Upendo mara nyingi  hauji kwa urahisi,  hata kama umekutana na mtu sahihi, kunatokea  upinzani na mawasiliano mabaya  kwenye  changamoto  ya kuonyesha upendo  uliopo kati ya watu wawili. Hujawahi kujiuliza kama kweli huyo mtu unayempenda kama...

Kila Mahusiano Yaliofanikiwa Ni Kutokana Na Wawili Kuwa Na Lengo Moja

Mahusiano ni sawa na kioo ,Mpasuko mdogo unaweza kuvunja kioo chote. Inahitaji umakini wa hali ya kipekee. Mahusiano yalio sahihi  sio rahisi kudumu  katika mafanikio. Utahitaji kujikita  na kujitolea kwa ajili ya hilo. Vitu vidogo...

Soma Hii Kama Kuna Mtu Amekuvunja Moyo Wako

Anafikiria nini. Nani kampa haki ya kukuvunja moyo?  Rudisha moyo wako, hizo ni fikra tu , moyo wako haujavunjika hata kidogo Mwonyeshe kuwa kuna kitu amekikosa kwako. tengemeza nywele zako, safisha kucha zako , Vaa...

IPO SIRI NZURI KWENYE MAHUSIANO KATIKA TENDO LA NGONO

Tunakuwa na mahusiano mazuri panapokuwa na sex nzuri, kwa kufikiria kwa makini kwamba ndoa yenye furaha wanakuwa wanapata sex nzuri na hupata hicho mara nyingi zaidi kuliko wale ambao hawako kwenye ndoa Umewahi kufahamu kuwa...

KILA MTU HUONYESHA UPENDO KWA NJIA TOFAUTI. TAFUTA LUGHA YA MWENZA WAKO

Hujawahi kujisikia kama kuchanganyikiwa wakati mwenza wako  hakuelewi?  Unaona kama kati yenu mna lugha tofauti?  Ukweli ni kwamba, mko hivyo. Kila mwanadamu hapa Ulimwenguni ana uelewa tofauti  wa upendo na anauonyesha kwa njia yake tofauti....

SIFA AMBAZO WANAUME WANAPENDA KUZISIKIA MARA NYINGI

Sio kila sifa mwanaume inampendeza mwanaume , hilo lazima uzingatie, ni muhimu kama utajua aina ya mwanaume ulienae.na ufahamu ni sifa gani utampa. Wanaume wanapenda kusifiwa na kukubalika  na kupendwa kama tu wanawake wanavyopenda.kwa sababu...

MAMBO 5 USIFANYE UNAPOKUWA UNADATE ONLINE

Watu wengi wanakuwa woga wanapokuwa wanadate online, na wengine wanakuwa sio wa kweli . kwa sababu hio  nakuletea mambo matano ambayo ni muhimu kuzingatia wakati ukiwa online dating. 1.Usidanganye au kujikuza kwa mambo tofauti na...

KAMA HUPENDI MAJIBU YAKE KATIKA MASWALI HAYA 3, ACHANA NAE

Jiokoe na  vitu vinavyoumiza Nilichoka kutoka na mwanaume  na kupoteza muda wa  wiki, na hata mwezi , kujaribu  kumfahamu .Nilifahamu sifa ambazo nazitaka kwa mwanaume, cha muhimu zaidi ,  nilifahamu hila  na tabia  za kweli,...

MBINU 10 ZA KUMVUTIA MSICHANA UNAYEMTAKA

Kuna mambo ambayo unaweza kufanya na ukaweza kumvutia msichana unayemtaka katika maisha yako. Jinsi ya kumpata  msichana  anayekuvutia. 1.Uwe Na Maisha Yako. Hiki ni kitu cha kwanza ambacho msichana anataka kuona ukiwa nacho,  Kuanza mahusiano mapya...

MAMBO 10 MWANAUME ANATAKIWA KUJUA KABLA YA KUOA MWANAMKE MWENYE UWEZO.

Wakati mwingine nawaonea huruma wanaume ambao  wamekuwa vipofu bila ya kuelewa na kuamua kuoa wanawake ambao wana uwezo mkubwa kuliko wao, sisemi kuwa ni vibaya, ila napenda waelewe wanawake hawa wanataka nini Na hii...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article