MAMBO MUHIMU YA KUJIHAKIKISHIA KABLA YA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA

Kuna maswali common kabisa ya kujiuliza  katika mapenzi. Mara nyinngi ni kama haya; Nitajuaje kama huyu  mtu  ni sahihi kwangu? Nitamwambiaje kama ataweza kuyafanya maisha  ya uwenza kuwa mazuri? Ni vitu gani muhimu naweza...

Ukiona Mwanamke Anafanya Mambo Haya ,Ujue Hajakomaa

Ni mwanamke aliyekomaa au bado mchanga? Hapa kuna baadhi ya dalili ambazo zitakuonyesha kuwa  huyo  bado hajawa mwanamke. 1.Anaigiza kimalikia Kuigiza kama malikia  ni aina ya uchanga ambao mara nyingi sio hali yake ya kawaida. Hajielewi bado....

NJIA NZURI ZA KUWASILIANA NA MWENZA WAKO

Mawazo mazuri ya kufanikisha  mahusiano yako. Unapata shida kuongea kuhusu hisia zako kwa mtu unaempenda? Mwenza wako anarukia mambo mengine kila unapoleta maongezi hayo? Kama ndio hivyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako. Kuongea kuhusu...

Uko Tayari Kujaribu Kitu Kipya?

Jifunze Kuwa Mtu Wa Shukurani. Badala ya kulaumu, kulalamika, kusononeka, kujikataa,  jaribu kwenda kinyume na hivyo.  Achana na maombi ya kupigana, kuvunja, kulia, kufunga. zaidi sana anza kuwa mtu wa shukurani. Watu wanapokuwa wanajisikia kuwa na...

Inaleta Maana Gani Mtu Anaposema Haikutakiwa Iwe Hivyo

Wakati watu wanapoteseka na Kukata tamaa katika mahusiano ya kimapenzi au katika kazi mbalimbali,Wakati mwingine waliweza kuambiwa ; Haikuwa Bahati yako. haikuwa mpango wa Mungu. Wakati mwingine ni kweli? Wakati mwingine ilitakiwa iwe hivyo kama...

Kwa Maneno 3 Tu Unaweza Kumpata Mwanaume Wa Maisha Yako

Kujifunza jinsi ya kumfanya mwanaume akupende haina maana kwamba unajiimarisha . Upendo. Ni uvumilivu. Ni Wema.  Unakatisha tamaa na kuchanganyikiwa. Kwa wanawake ambao wako single wanaelewa maana hii.  Maisha haya sio ya kukufanya uzimie moyo. Lakini...

Wasichana Wa Aina Hii Wana Mahusiano Imara

Wasichana wenye moyo laini huwa hawaogopi kupenda , ni wakweli katika mapenzi. Hufungua mioyo yao  na kukuacha ujisikie huru kuwepo naye. Watakuweka karibu yao,  na wataweka vichwa vyao mabegani mwako. Watakubusu kwenye paji la uso...

Kutokujali Kwake Inaumiza Zaidi Kuliko Chochote Kile

Nafahamu kwamba umekuwa  na moyo wa ukarimu na roho yako  ni njema kwa  mwanaume huyo ambaye  ulifikiri anastahili  hali hio.  Najua unaendelea kukusanya vipande  vilivyovunjika na kuanguka chini,  ili tu kuvirudisha tena mahali pake...

JINSI YA KUJIELEZA KAMA MAMBO YA KIHISIA YANAHARIBU MAHUSIANO YAKO:

Ingekuwa vema kuamini  mambo ya kihisia  yangekuwa yanaweza kuimarisha  mahusiano yako ya msingi. Katika hali zingine, kama itashughulikia kwa uwazi na   kuwajali wengine, ingeweza kupenyeza shauku na kuleta maslahi mapya katika mahusiano hayo. Lakini...

UMUHIMU WA KUTHAMINI VIWANGO VYAKO

Fahamu kitu gani unahitaji.--Na uwe na ujasiri wa kuwa nacho. Hili ni swali ambalo limeulizwa na msomaji. Nimekuwa nikilala na mwanaume kwa muda wa miezi 10 sasa. Niliwasiliana nae mapema ya kwamba nilihitaji kupata kitu kikubwa...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article