Love Is Full Of Brokenness.People Still Need Healing

Ninachoka pale watu wanapokata tamaa bila ya kupeana muda wa kusameheana. Kinachonichosha zaidi ni mtu kuamua kujinyonga kwa ajili ya kukataliwa. Nikiona hivyo naumia kwa sababu ya mtu ambaye amefungwa ufahamu wake . Akili yake...

Hii Ni Nzuri Wakati Unapochagua Kujisamehe

Siwezi kukiri kwamba nimekuwepo kwenye mahusiano mazuri. Nimepita kwenye mambo mengi hasa linapokuja swala la upendo na nina uhakika wa kujaribu tena.  Lakini naamini kabisa kuwa tunajifunza uzoefu. Kitu ambacho nimejifunza na kukikumbuka ni  kwamba...

Kwa Maneno 3 Tu Unaweza Kumpata Mwanaume Wa Maisha Yako

Kujifunza jinsi ya kumfanya mwanaume akupende haina maana kwamba unajiimarisha . Upendo. Ni uvumilivu. Ni Wema.  Unakatisha tamaa na kuchanganyikiwa. Kwa wanawake ambao wako single wanaelewa maana hii.  Maisha haya sio ya kukufanya uzimie moyo. Lakini...

Hivi Ndivyo Ambavyo Utampoteza Msichana Ambaye Tayari Anaipenda Nafsi Yake

Utampoteza pale ambapo utafanya mambo ya kijinga, kwa kufikiria kuwa  atakubaliana na kila unachokitaka. Kwa kufikiri atakubaliana na muda wako wa kijinga usio na thamani kwake. Utampoteza kwa kutomwambia jinsi gani ana thamani kwako. Kwa...

Hivi Unajua Nguvu Ya Mahusiano Huja Baada Ya Kujaribu Upendo Huu

Upendo mara nyingi  hauji kwa urahisi,  hata kama umekutana na mtu sahihi, kunatokea  upinzani na mawasiliano mabaya  kwenye  changamoto  ya kuonyesha upendo  uliopo kati ya watu wawili. Hujawahi kujiuliza kama kweli huyo mtu unayempenda kama...

Kila Mahusiano Yaliofanikiwa Ni Kutokana Na Wawili Kuwa Na Lengo Moja

Mahusiano ni sawa na kioo ,Mpasuko mdogo unaweza kuvunja kioo chote. Inahitaji umakini wa hali ya kipekee. Mahusiano yalio sahihi  sio rahisi kudumu  katika mafanikio. Utahitaji kujikita  na kujitolea kwa ajili ya hilo. Vitu vidogo...

Huwezi Kumbadilisha Mtu Asiyejali

Kuna familia ambazo  hawana kabisa desturi ya  kujali wengine.  Familia zingine zinakuwa na watu wasomi kabisa, lakini hawana hekima hata kidogo. Ukiolewa  au kuoa mtu ambaye ametoka katika moja ya familia hizo lazima uteseke. Atachagua...

Date Na Mtu Ambaye Unamwamini Asilimia Mia

Date na mtu ambaye anaweza kuacha simu yake mezani na kwenda zake chumbani, na wewe huna muda wa kuigusa simu yake kwa ajili ya kuangalia meseji. Akilini mwako unajua kabisa hakuna kibaya  kilichopo ndani ya...

Kuelewa Hamu Ya Mwenza Wako Itakuongoza Kupata Sex Iliyo Bora

Mwanaume anataka sex muda wote. Mwanamke  yuko kwenye mood mbaya.Mwanaume anataka sex ili kujisikia kuwa karibu. Mwanamke anahitaji kupata hisia ya karibu kwanza kufikia hamu ya sex. Mwanaume anataka furaha ya mwili. Mwanamke anataka...

Kwa Nini Ukiwa Kwenye Mahusiano Huna Uhakika Wa Kuwa Na Furaha

Miaka ya leo watu walio single ni wengi kuliko ambao wameolewa, Sababu iko wazi Ni kukosekana kwa taarifa kamili kuhusu mahusiano. watu wameruka maandiko, Hawajafundishwa au wamesahau . Kuna mambo mengi siku hizi , Sasa...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article