UKIWA MDANGANYIFU NAWE UTADANGANYWA TU:

Kuna mwanamke mmoja alisema mbele za watu kwa kujikosha , kwamba hatakuja kumdanganya mume wake kwa chochote,  siku moja alijikuta akidanyanya pasipo kujijua kama anadanganya. Wanawake wengi hawapendi kuitwa wadanganyifu, hata hivyo hakuna mtu anapenda...

TABIA 7 ZA WANANDOA WENYE FURAHA

  Kuwa na mahusiano mazuri ,badala ya yale mabaya , sio tu kuteka mafanikio bali ni kuwa na mtazamo ulio mzuri  kimaisha. Wanandoa  ambao mahusiano yao  mara nyingi huonekana kukua na kuimarika  katika muunganiko  wao...

NJIA3 ZA KUPONYA MOYO ULIOUMIZWA

  Hakuna kitu kibaya kama kuumia moyo , kama kuna mtu uliyempenda na kumthamini kukutenda , inakuwa kama umefanyiwa ukatili , watu wengine husikia aibu , majuto, hasira  na huzuni .mambo kama haya yanaweza kumzidi...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article