Posts in category

mahusiano


Mahusiano ni sawa na kioo ,Mpasuko mdogo unaweza kuvunja kioo chote. Inahitaji umakini wa hali ya kipekee. Mahusiano yalio sahihi  sio rahisi kudumu  katika mafanikio.

2 48

Kuna familia ambazo  hawana kabisa desturi ya  kujali wengine.  Familia zingine zinakuwa na watu wasomi kabisa, lakini hawana hekima hata kidogo. Ukiolewa  au kuoa mtu ambaye ametoka katika moja ya …

0 38

Date na mtu ambaye anaweza kuacha simu yake mezani na kwenda zake chumbani, na wewe huna muda wa kuigusa simu yake kwa ajili ya kuangalia meseji.

0 42

Mwanaume anataka sex muda wote. Mwanamke  yuko kwenye mood mbaya.Mwanaume anataka sex ili kujisikia kuwa karibu. Mwanamke anahitaji kupata hisia ya karibu kwanza kufikia hamu ya sex. Mwanaume anataka furaha …

0 36

Miaka ya leo watu walio single ni wengi kuliko ambao wameolewa, Sababu iko wazi Ni kukosekana kwa taarifa kamili kuhusu mahusiano. watu wameruka maandiko, Hawajafundishwa au wamesahau .

0 35

  1.Kipaumbele chenu kitakuwa kimoja. 2.Utamuheshimu naye atakuheshimu. 3.Familia Na marafiki wataona kitu unachokiona wewe kwake. 4.Hakuna drama

0 47

1.Nenda  bafuni mara tu unapomaliza sex. Ndio. nafahamu kuwa unahitaji kukumbatiwa muda wa kutosha. nafahamu kuwa utaharibu mood  yako. Lakini unahitaji Kwenda kujisafisha. Nenda kachuchumae itakusaidia  kuondoa bacteria wa UTI. …

0 35

Nimekuwepo katika mahusiano ya muda mrefu , na pia mahusiano ya muda mfupi kwa zaidi ya miaka kumi.

0 39

Wakati ndio huu, ngoja nikuelezee. 1.Hata kama ukiwa ni Rais, ukiwa maarufu , ukiwa ni mfanyabiashara mkubwa kiasi gani. Hivi vitu vinabaki Ofisini kwako, shuleni kwako, kanisani kwako,gym kwako, Uzuri …

0 35

Unapokuwa kwenye mahusiano ya kawaida, Kamwe hutaweza kuongea kuhusu maisha ya baadae.Unakuwa unaepuka mipango yote inayohusu baadae. Unaweza kuwa unafanya kila kitu lakini  hutaweza kuongea kuhusu baadae.

0 39