Unahitaji Kitu Gani?

Kitu gani ni vitamini C Yako? Unahitaji nini?  Zoezi: Kuza Nguvu yako ya ndani. Kwa nini?  Kila mtu ana matatizo yake. Ukiangalia wengi wana stress, magonjwa, kupoteza, mazingira magumu, Bila shaka ni mengi sana hasa katika...

AKILI YAKO ITAJUAJE KAMA KILA KITU KIPO KWA AJILI YAKO.

Inawezekana hujawahi kutambua kabisa kuwa kila kitu kipo kwa ajili yako.Yaani Afya, furaha, amani, upendo, pesa, heshima ,hekima na mengine katika maisha . Mungu anasema kila kitu unachotaka,unachohitaji tayari unacho hata kabla hujaomba nimekupa vyote,...

Njia 7 Za Kutumia Muda Peke Yako Zitabadilisha Maisha Yako

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote. Ilikuwa ni mapumziko. Tena  kwa muda huo familia yangu ilikuwepo, walikuwa wakipita huku na huku. mara wanafungua hiki mara wanaongea. Lakini...

Vitu 18 Vya Kuacha Kabla Ya 2018

1.Kutuma vitu  kwenye mitandao visivyokuhusu Usifanye mitandao kama diary yako 2.Kutotumia Maji ya Kutosha. Kabiliana navyo, unahitaji kupata maji ya kutosha. Ngozi yako inahitaji, akili yako inahitaji, ubongo wako unahitaji, misuli yako inahitaji. Tumia maji. 3.Kumpa kitu mtu...

Huyu Ndiye Msichana Anayejifunza Kuipenda Nafsi Yake

Ana akili ya dhahabu Utayari wake ni wa kujifunza Ni kitu ambacho hakiwezi kumpita. Anatumia muda wake kujifunza kujipenda mwili wake katika hali anayoitaka. Anajifunza kuulisha mwili, roho yake, akili yake ili kuweka katika hali nzuri. Moyo wake una...

Jaribu La Muda Kwa Mwanadamu

Kwa nini watu wengi hawafanyi vizuri; Unaweza kuwa hufanyi vizuri kumbe kuna mtu mwingine amebeba  jibu la maisha yako. Fahamu kitu ambacho unataka kukifanya. kitu kinachoingia kwenye  kazi yako ni MUDA.  Unakubali kupita kwenye magumu...

Kuonyesha Ukweli Wako Bila Hofu Na Kupenda

Mambo yote mapya tunayoyaingiza ndani kutokana na hali ya mitandao iliopo, tunatengeneza hali ya akili yenye hofu  na kutuweka katika hali ya kujilinda. Tunaishi katika kujihami kwamba huenda kuna kitu kibaya kinaweza kutokea.  tumekuwa na...

Tatizo Kubwa Ni Kujiona Uko Sahihi Kila Mara

Unaweza kubadilisha mawazo yako , Hisia zako, na tabia zako ndani ya mahusiano yako kwa kuelewa  mtindo  uliopo kati yenu na  mtindo wa watu unaohusiana nao. Kila aina ya mshikamano uliopo  una athari tofauti jinsi...

Tengeneza Tabia Za Mafanikio

Desturi ni, ''Tabia iliyojengwa kutokana na kurudia rudia  maneno unayotaka yafanyike  ndani yako. Kitu chochote ambacho utakifanya mara kwa mara kinakuwa ni desturi yako. Wewe ndiye mtu ambaye unaijenga  desturi yako  kwa kujua unachokitaka. Wakati...

TABIA 7 ZINAZOMFANYA MWANAUME AONEKANE ANAVUTIA

Unategemea ushauri wa kuonekana handsome, au kwa ajili ya mazoezi, au mrefu, mtanashati, umekosea. Aina ya ushauri huo hautatui tatizo. Utakachojifunza hapa ni  kitabia na kiakili ambazo zinaongeza mvuto wako. Utajuaje hili? Unaweza kujilinganisha mwenyewe na mwanaume...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article