Unahitaji Kitu Gani?

Kitu gani ni vitamini C Yako? Unahitaji nini?  Zoezi: Kuza Nguvu yako ya ndani. Kwa nini?  Kila mtu ana matatizo yake. Ukiangalia wengi wana stress, magonjwa, kupoteza, mazingira magumu, Bila shaka ni mengi sana hasa katika...

AKILI YAKO ITAJUAJE KAMA KILA KITU KIPO KWA AJILI YAKO.

Inawezekana hujawahi kutambua kabisa kuwa kila kitu kipo kwa ajili yako.Yaani Afya, furaha, amani, upendo, pesa, heshima ,hekima na mengine katika maisha . Mungu anasema kila kitu unachotaka,unachohitaji tayari unacho hata kabla hujaomba nimekupa vyote,...

Njia 7 Za Kutumia Muda Peke Yako Zitabadilisha Maisha Yako

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote. Ilikuwa ni mapumziko. Tena  kwa muda huo familia yangu ilikuwepo, walikuwa wakipita huku na huku. mara wanafungua hiki mara wanaongea. Lakini...

Tatizo Kubwa Ni Kujiona Uko Sahihi Kila Mara

Unaweza kubadilisha mawazo yako , Hisia zako, na tabia zako ndani ya mahusiano yako kwa kuelewa  mtindo  uliopo kati yenu na  mtindo wa watu unaohusiana nao. Kila aina ya mshikamano uliopo  una athari tofauti jinsi...

SIO MWONEKANO , NI UNDANI WAKO NDIO UNAKUFANYA UVUTIE

Kila mtu huwa ana siku ambazo hujisikia kama  havutii. Na hujaribu kukutana na mahitaji ya jamii kutaka kuonekana mzuri, na hio inakatisha tamaa Nguo zako ni za kutoka kipindi cha nyuma, nywele haziko vizuri, umeongezeka...

HATUA HIZI 5 ZITAFUNGUA UFAHAMU WAKO NA KUONYESHA UHALISIA WAKO

Kujikubali  inakusaidia  kuwa halisi  na kujisikia vema  katika ngozi yako mwenyewe. Uhalisia ni moja ya  uchaguzi  unaofanya kila siku. Ni kuhusu kuonyesha  uchaguzi na kuwa halisi. Uamuzi wa kuwa mkweli, uchaguzi wa kuwa wewe. Uchaguzi...

KAMA HUWEZI KUKAA POSE HILI KWA SEKUNDE 50, BASI UTAKUWA NA MATATIZO

Unatafuta aina ya mazoezi ambayo yatakusaidia kuweka mifupa yako vizuri hasa kwenye tumbo na mgongo?  Unatafuta kuwa na Abs, kuimarisha  misingi  yako,  na kuboresha  mwili? Kama ndio hivyo  fanya mazoezi ya plank ndio sahihi...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article