Tengeneza Tabia Za Mafanikio

Desturi ni, ''Tabia iliyojengwa kutokana na kurudia rudia  maneno unayotaka yafanyike  ndani yako. Kitu chochote ambacho utakifanya mara kwa mara kinakuwa ni desturi yako. Wewe ndiye mtu ambaye unaijenga  desturi yako  kwa kujua unachokitaka. Wakati...

UNAHANGAIKA KUWA POSITIVE? UNAHITAJI KIJIKO CHA CHAI KUFANYA MABADILIKO.

Mara nyingi unajikuta unawaza vibaya? Inaweza kuwa ni vigumu  kushughulikia  mawazo negative muda wote- unapokuwa kazini, unapokuwa nyumbani,  unapokuwa na rafiki zako, unapokuwa mwenyewe tu.  kama unafanana na moja ya hizi,  usihofu. Kwa baadhi ya...

MASWALI 50 YA KUWAULIZA WATU WANAOKUZUNGUKA:

Mswali haya yana maslahi mazuri tu unapowaliza watu wanaokuzunguka na wala sio maswali ya ilimradi  unauliza, ni maswali ambayo ni ya kirafiki na  huwafanya watu wajisikie vizuri. Watu wengi hawajui namna ya kuuliza maswali,...

Njia 7 Za Kutumia Muda Peke Yako Zitabadilisha Maisha Yako

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote. Ilikuwa ni mapumziko. Tena  kwa muda huo familia yangu ilikuwepo, walikuwa wakipita huku na huku. mara wanafungua hiki mara wanaongea. Lakini...

TABIA 6 ZITAKAZOKUFANYA UWE MASKINI MAISHA YAKO YOTE:

Ulizaliwa maskini, ulipokuja duniani hukuja na chochote zaidi ya akili uliopewa na Mungu, lakini kama ukifa maskini  utajilaumu wewe .Angalau watu 8 kati ya 10 wanahangaika kuondoa umaskini kwenye maisha yao ya baadae. swali...

MASWALI MUHIMU YA KUULIZA KWA MWANAUME KABLA MAHUSIANO KUWA SERIOUS

Na ni wakati gani, pia. Wakati unapokutana na mtu mpya, mawasiliano yale ya kwanza inabidi  yawe yanahusu kati yenu wawili. Haya maswali ni ya kuchagua sio yote ya kumuuliza mtu, angalia ambalo litakusaidia  unapouliza. Kwa hio hapa...

SITAFUTI MTU WA KUNIKAMILISHA KWA SABABU MIMI SIO NUSU.

Hiki kinyume nyume  cha kipunda nafikiri inabidi kuzuiliwa. Kamwe sijawahi kuwa shabiki wa   soulmates. Wazo lililoko hapo ni kama mtu mmoja kwa  kila mmoja kati ya watu bilioni mia moja trilioni ulimwenguni. Pamoja na wageni.nimekuwa...

SIO MWONEKANO , NI UNDANI WAKO NDIO UNAKUFANYA UVUTIE

Kila mtu huwa ana siku ambazo hujisikia kama  havutii. Na hujaribu kukutana na mahitaji ya jamii kutaka kuonekana mzuri, na hio inakatisha tamaa Nguo zako ni za kutoka kipindi cha nyuma, nywele haziko vizuri, umeongezeka...

CHAKULA AMBACHO KITAKUPA AFYA YA KWELI

Tazama unachokitaka kiingie kwenye akili yako. Watu hawana uelewa;Wanapenda kusoma kila kitu na kuangalia kila kitu, hata vitu ambavyo havina maana kwao. Kusambaza umbea na kujaziana  uchafu kwenye vichwa vyao. Epukana na hali hio ili...

Tatizo Kubwa Ni Kujiona Uko Sahihi Kila Mara

Unaweza kubadilisha mawazo yako , Hisia zako, na tabia zako ndani ya mahusiano yako kwa kuelewa  mtindo  uliopo kati yenu na  mtindo wa watu unaohusiana nao. Kila aina ya mshikamano uliopo  una athari tofauti jinsi...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article