Posts in category

maisha na mitindo


Ana akili ya dhahabu Utayari wake ni wa kujifunza Ni kitu ambacho hakiwezi kumpita.

0 63

Kwa nini watu wengi hawafanyi vizuri; Unaweza kuwa hufanyi vizuri kumbe kuna mtu mwingine amebeba  jibu la maisha yako. Fahamu kitu ambacho unataka kukifanya. kitu kinachoingia kwenye  kazi yako ni …

0 45

Mambo yote mapya tunayoyaingiza ndani kutokana na hali ya mitandao iliopo, tunatengeneza hali ya akili yenye hofu  na kutuweka katika hali ya kujilinda.

0 50

Unaweza kubadilisha mawazo yako , Hisia zako, na tabia zako ndani ya mahusiano yako kwa kuelewa  mtindo  uliopo kati yenu na  mtindo wa watu unaohusiana nao.

0 40

Desturi ni, ”Tabia iliyojengwa kutokana na kurudia rudia  maneno unayotaka yafanyike  ndani yako. Kitu chochote ambacho utakifanya mara kwa mara kinakuwa ni desturi yako. Wewe ndiye mtu ambaye unaijenga  desturi …

0 46

Unategemea ushauri wa kuonekana handsome, au kwa ajili ya mazoezi, au mrefu, mtanashati, umekosea. Aina ya ushauri huo hautatui tatizo. Utakachojifunza hapa ni  kitabia na kiakili ambazo zinaongeza mvuto wako.

0 92

Umbali unaweza kuleta masikitiko.Lakini wakati mwingine  masikitiko hayo yanaweza  kupima utamu uliopo .Na kuna maumivu ya moyo pia. Mahusiano ya mbali yanaangukia kwenye vitu vitatu visivyotakiwa kwenye mahusiano.

0 35

Kila mtu huwa ana siku ambazo hujisikia kama  havutii. Na hujaribu kukutana na mahitaji ya jamii kutaka kuonekana mzuri, na hio inakatisha tamaa

0 34

Tazama unachokitaka kiingie kwenye akili yako. Watu hawana uelewa;Wanapenda kusoma kila kitu na kuangalia kila kitu, hata vitu ambavyo havina maana kwao. Kusambaza umbea na kujaziana  uchafu kwenye vichwa vyao.

0 46

  Watu wanatumia muda mwingi  kuhofia kuhusu wenza wao wanajisikiaje kuhusu mahusiano yao au watu wanayaonaje mahusiano yao

0 34