UNAHANGAIKA KUWA POSITIVE? UNAHITAJI KIJIKO CHA CHAI KUFANYA MABADILIKO.

Mara nyingi unajikuta unawaza vibaya? Inaweza kuwa ni vigumu  kushughulikia  mawazo negative muda wote- unapokuwa kazini, unapokuwa nyumbani,  unapokuwa na rafiki zako, unapokuwa mwenyewe tu.  kama unafanana na moja ya hizi,  usihofu. Kwa baadhi ya...

KAMA HUWEZI KUKAA POSE HILI KWA SEKUNDE 50, BASI UTAKUWA NA MATATIZO

Unatafuta aina ya mazoezi ambayo yatakusaidia kuweka mifupa yako vizuri hasa kwenye tumbo na mgongo?  Unatafuta kuwa na Abs, kuimarisha  misingi  yako,  na kuboresha  mwili? Kama ndio hivyo  fanya mazoezi ya plank ndio sahihi...

MAFUNZO 5-KUISHI PEKE YAKO KWENYE MJI MPYA

Kama utabeba utoto wako,  kamwe hutaweza kukua. Nilipokuwa mtoto nilikuwa nafikiria  jinsi gani nitaanza , nilitamani kuondoka  na kwenda mahali  ambapo hakuna mtu ambae ananifahamu, niliona kama ndio nitaishi vizuri kwa amani nikiwa mwenyewe. Nilipokuwa...

WANASAYANSI WANASEMA WATU WENYE AKILI HUWA NA TABIA ZA KAWAIDA

Umewahi  kukaripiwa kwa ajili ya tabia yako mbaya kabla? Wazazi wako wamewahi kukusema  kila wakati kuwa hausafishi chumba chako? Marafiki zako wamewahi kukucheka wakati unapoongea peke yako? Au wakati mwingine unajikuta  unaapa mbele ya...

MAHUSIANO YANATUFANYA TUWE NA AFYA NA FURAHA?

Kwenye kiasi na sifa inapofanya tofauti. Kuridhika kwenye mahusiano  sio kitu pekee ambacho kinatupatia furaha ya kweli,   yanashawishi  afya ya muda mrefu  pamoja na kupata muda wa kutosha wa kulala, kula chakula chenye afya, na...

ACHA KUTUMIA MAKEUP NA UTAONA KITAKACHOTOKEA

Ukitengana na makeup angalau kwa mwaka  utajisikia tofauti , utajisikia wewe . zaidi kuliko wakati ulipokuwa unatumia makeup Ina maana kwamba hutakuwa na muda wa kujiangalia jinsi unavyoonekana, ikiwa na maana kuwa hutatumia muda mwingi...

MAMBO 7 HUTAKIWI KUCHELEWA KUJIFUNZA KATIKA MAISHA

Haitakiwi kuwa na majuto katika maisha yetu. , Ingawa kuna muda  tunatambua  kuna mambo kama hayo yapo. Kama tungeyajua mapema ,  tungeweza kupata faida zake mapema wakati ambao ni miaka ya mapema .Inawezekana tumeweza...

SITAFUTI MTU WA KUNIKAMILISHA KWA SABABU MIMI SIO NUSU.

Hiki kinyume nyume  cha kipunda nafikiri inabidi kuzuiliwa. Kamwe sijawahi kuwa shabiki wa   soulmates. Wazo lililoko hapo ni kama mtu mmoja kwa  kila mmoja kati ya watu bilioni mia moja trilioni ulimwenguni. Pamoja na wageni.nimekuwa...

MAMBO 7 YA KIHISIA WATU WENYE AKILI HAWAFANYI.:

Meneja wa hoteli aliongea na watu wawili kwa msimamizi na kulalamika  kwa sauti kuhusu huduma waliosubiri kwa muda. Rafiki yako mwenye hali ya juu uliemwita  muda huoulihitaji ahudumiwe haraka.  lakini huruma ilijumuisha wafanyakazi kuokolewa...

SIMULIA HISTORIA YAKO , PONYA MOYO WAKO NA YALIOPITA.

Kumiliki historia zetu inaweza  kuwa ni kazi , lakini sio  kama  ugumu wa kutumia  maisha yetu kuondokana na hicho. Nilihama upande mwingine wa ulimwengu ili kuepukana na historia yangu. Hivyo ndivyo nilivyoiweka wazi  Ilikuwa ni...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article