LUGHA YA HILA YA MWILI INAYOKUFANYA UPENDEKE MARA MOJA

unawapatia watu ishara siku nzima bila ya kusikilizwa,  unavyosogeza macho, jinsi unavyopeana mkono na mengine zaidi, ipo namna ambayo  ambayo unaweza kuifanya ili kuleta matunda utakayo. wapatie ishara kwa kutumia lugha ya mwili na...

SIKIA HII WEWE AMBAE UMEFIKA AU UMEKARIBIA MIAKA 40:

Njia 10 za kukufanya uyapende maisha zaidi hata baada ya miaka 40. Watu wameanza kutambua kuwa umri wa kati ni umri mzuri  wa maisha kuliko umri wowote, na ni muda mzuri wa kufurahia maisha  yako...

TABIA 6 ZITAKAZOKUFANYA UWE MASKINI MAISHA YAKO YOTE:

Ulizaliwa maskini, ulipokuja duniani hukuja na chochote zaidi ya akili uliopewa na Mungu, lakini kama ukifa maskini  utajilaumu wewe .Angalau watu 8 kati ya 10 wanahangaika kuondoa umaskini kwenye maisha yao ya baadae. swali...

MASWALI 50 YA KUWAULIZA WATU WANAOKUZUNGUKA:

Mswali haya yana maslahi mazuri tu unapowaliza watu wanaokuzunguka na wala sio maswali ya ilimradi  unauliza, ni maswali ambayo ni ya kirafiki na  huwafanya watu wajisikie vizuri. Watu wengi hawajui namna ya kuuliza maswali,...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article