Category mapenzi na utashi 66 articles to read

Sielewi Kwa Nini Umeacha Kunitumia Ujumbe

  Sielewi kwa nini umeacha kumitumia ujumbe mzuri , huenda una hisia tofauti si kama nilizonazo  kuhusu wewe, Lakini ninapata ugumu wa kuamini kuwa ni lini mahusiano yetu yatapata nguvu.

Hayakuwa Mapenzi Ya Kweli

Kwa sababu mapenzi yaliopita sio mapenzi. Kila mtu anao aina hio ya upendo wa mazoea tunaoulinganisha na upendo mwingine. Uzoefu huu ulitokea wakati wa utoto, tukiwa  elimu ya juu, wengine iliwatokea wakiwa miaka 20. lakini  utakuta mtu anakumbuka kama ilikuwa jana tu.

Kufanya Ngono Bila Ufahamu Inaweza Kuumiza Mahusiano

Kitu'' kufanya mapenzi '' kawaida ni kitu kizuri na kinahitaji hisia ambazo ni positive. Kufanya mapenzi ni raha. sweet. caring, na upendo mzuri.

Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi

Sio kwa  namna ambavyo mnakiss Sio kuhisi utamu kama asali Sio kujihisi kama uko hewani wakati uko chini kawaida

Uzuri Wa Maisha Unatokana Na Mahusiano Mazuri

Zipo njia 5 Ambazo zinafanya  mahusiano kuwa mazuri na maisha kuwa mazuri. Wote tunahitaji maisha mazuri. yenye furaha, nguvu, na upendo.  na wakati huo huo tunafikiri tunaweza kufanya hivyo  peke yetu haiwezekani. Mahusiano mazuri ni muhimu katika maisha mazuri.

Mapenzi Yenye Ushindi

Tunatakiwa kujisalimisha au kubadilika? I love you with lemon and salt, Nakupenda jinsi ulivyo, Hakuna sababu ya kukubadilisha hata kidogo.

Mapenzi Mazuri Ni Ya Wakati Uliopo

[caption id="attachment_5298" align="aligncenter" width="640"] inapendeza[/caption] Tunatumia muda mwingi sana kutaka kujua kama mtu  tunayempenda kama na yeye anatupenda, hio inatufanya kusahau jinsi  ya kufurahia mapenzi jinsi yalivyo, wakati uliopo.