Hayakuwa Mapenzi Ya Kweli

Kwa sababu mapenzi yaliopita sio mapenzi. Kila mtu anao aina hio ya upendo wa mazoea tunaoulinganisha na upendo mwingine. Uzoefu huu ulitokea wakati wa utoto, tukiwa  elimu ya juu, wengine iliwatokea wakiwa miaka 20. lakini ...

Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi

Sio kwa  namna ambavyo mnakiss Sio kuhisi utamu kama asali Sio kujihisi kama uko hewani wakati uko chini kawaida Au kwa namna ambavyo mnafurahi Hata kama mnafahamiana kwa miaka mingi kiasi gani Wala sio kwa miezi michache baada ya...

Ipo Siku Utakutana Na Mtu Atakayekuonyesha Jinsi Upendo Wa Kweli Ulivyo

Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi  ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya...

KUPATA MAPENZI YA KWELI NA YA KUDUMU USIWE NA HARAKA

Usiwe na haraka, mambo mazuri  yanahitaji muda  Kuwa single na kuhangaika kutafuta mtu sahihi  mwenye mapenzi ya kweli ambayo yatadumu bado ni  ishu kubwa  watu wanakabiliana nayo siku hizi. Haijalishi ni uwezo gani walionao katika...

KWA NINI MWANAUME ANAKUAMBIA ANAHITAJI UPENDO WAKO

Wanaelewa kuwa wanawake ni wazuri, sexy, strong and confident- Lakini  unafahamu kuwa upendo wako unaweza  kumhamasisha? Hapa kuna sababu kumi  kwa nini mwanaume anakuambia anahitaji upendo wako na anakuhitaji wewe ili awe bora. Sikiliza...

UNAFIKIRI KWA NINI NI VIGUMU KUSEMA NAKUPENDA

Kulingana na dalili  zilizopo Inakuaje unapotamka neno hili nakupenda, inaogopesha ? Kama unahisi kuogopa,  unahitaji kuonyesha huo upendo, lakini ipo hatari  kama utakuwa unafikiria kuwa upendo huo  ni wa upande mmoja Tunapowapenda watu, tunakuwa wazi ....

WANAWAKE, MNATAKA WANAUME KUPAY ATTENTION ZAIDI KWENU?

Wasifie tu kidogo na watakuwa  na shukurani  kwako. Wanaume  sio viumbe wagumu kama unavyofikiria. Ni viumbe rahisi . na hii ni kweli . Kuishi na kustawi. wanahitaji oxygen, maji, chakula ( Kipimo ni muhimu zaidi...

VITENDO VIDOGO 7 AMBAVYO VITARUDISHA MAHUSIANO YAKO KWENYE HALI YA HONEYMOON

Kutokana na super busy lifestyles yetu,  Inabidi kutafuta zaidi mbinu za kuonyesha  wenza wetu kwamba tunawajali. Haihitaji mbinu kubwa kubwa sana  au za siku maalumu ili kufanya hivyo na kuleta  tabasamu kila mara. Hakuna...

NINI CHA KUSEMA NA KIPI SIO CHA KUSEMA TO SOMEONE AFTER BREAKUP

Nia yako  ya kusaidia  mtu fulani  ambaye anapata shida  kwa sababu ya breakup inaweza kuwa ni nzuri , lakini  the wrong responce inaweza kuleta  huzuni zaidi, hasira,  au kukosa amani kwa mtu.  Here are...

JINSI YA (NA KWA NINI) KUWA MWENYE SHUKURANI KWA MOYO ULIOVUNJIKA

Sio muda mrefu uliopita moyo wangu uliangamizwa. kitu kizuri ni kwamba haikuwahi kutokea kwangu. Sitegemei kutokea tena kwangu. Lakini ilikuwa ni nafasi kubwa kwa ajili yangu kujifunza kuhusu mimi mwenyewe.. wiki hii, kuna watu wengi...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article