MANENO MATAMU 18 YA KUMWAMBIA MWANAUME NA KUUTEKA MOYO WAKE.

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu. Siku za leo, tuna njia...

MANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu . Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa...

MAHALI PAZURI PA KUFANYIA MAPENZI SI CHUMBANI TU:

Watu wengi hufikiri kuwa kufanya sex ni chumbani tu, hawaelewi kuwa kubaki chumbani kila siku  kunachoshwa na kukufanya ukose hamasa ya tendo hilo.Maana yake ni ili kuleta ukaribu zaidi na kufanya mapenzi yawe ni...

UTAJUAJE UKO KWENYE MAHUSIANO YA KUDUMU? ISHARA HIZI 5 ZITAKUONYESHA.

Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti,  wengine huanza  vizuri na kuishia pabaya, na wengine  huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda mrefu? Kuna siri gani...

WANAUME HUFIKIRIA NINI HASA KUHUSU MWILI WA MWANAMKE ‘MTIRIRIKO ‘ (KAMA NILIVYOELEZEWA NA WAO)

Hii ni habari njema kabisa.. Mara nyingi wanawake huwa wanajizarau wenyewe kwa kujiangalia kwenye kioo kila siku , badala ya kufurahia miili yao  mizuri,  huanza kusema mikono minene, mara makalio makubwa sana, mara tumbo limezidi,...

SIRI 10 ZA KUTENGENEZA URAFIKI WA KIMAPENZI KATIKA MAHUSIANO MAPYA.

Urafiki wa kimapenzi katika mahusiano ni kama pumzi ndani ya  mapafu. Tunapofikiria  urafiki wa mapenzi,  tunafikiri mguso wa kimwili na  kutamani  kwa kunalazimika, Kitu ambacho kila mtu hakielewi ni  huo urafiki wa kimapenzi(intimacy) unaohitajika...

MANENO 100 YA KUSEMA NAKUPENDA

Nakupenda sana Napata nguvu nikiwa nawe Nakukubali Siwezi ishi bila wewe Siwezi kukaa bila ya kukufikiria Nakutegemea Nakuota kila siku Naishi kwa ajili ya maisha yetu Nakuhitaji uwepo karibu yangu Nakuhitaji na kukuheshimu Nakuthamini Nakutukuza Nakutamani Nimekuwa mtu bora kwa ajili yako Nimebarikiwa kuwa na wewe ndani ya...

KABLA YA KUSEMA’’NAKUPENDA’’ FIKIRIA KAMA UNA HIVI VITU 6 KWENYE AKILI .

Kusema nakupenda kwa mtu fulani katika maisha yako inaweza kuwa ni rahisi  kuliko kingine,Lakini mara  hisia zako zinapojionyesha na  jukumu lako katika  mahusiano. Haijalishi ni safari ndefu ya aina gani , l;akini  itafika muda...

MAMBO 10 YA KUMWAMBIA MKE, MUME, MPENZI, KILA SIKU.

Wale wenzetu katika mahusiano tunafahamu kuwa usimchukulie mtu kawaida kwa sababu umempata, au kwa kujihakikishia. Kuwa na muda wa kushirikishana maneno ya mawazo kila siku inasaidia kukomaza na kutunza mahusiano yetu yawe na nguvu. Na...

WANAUME WASIO NA KIPATO NI WAZURI KITANDANI, ZIPO SABABU 4

Wanasayansi wanasema. Pesa sio kila kitu, watu. Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume  na tabia zao za  sex. Wengi wao...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article