Mambo Matamu 50 Ya Kusema Kwa Mwanamke/mwanaume
1.Umenifanya niwe mtu bora
2.Umenifanya nijisikie Kupendwa
3.I love you so much
4.Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.
5.Sitasubiri kukuona tena
6.Napenda kutumia muda na wewe
7.Napenda niwe wako
8.Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako
9. Napenda uso wako.
10.Nashukuru kukuona
11.You're so...
KWA NINI WEWE NA MWENZA WAKO MSIONGEE LUGHA MOJA YA MAPENZI
Unaonyeshaje Upendo wako? Unataka upendwe kwa njia ipi ndani ya mahusiano yako? Kama wewe ni mmoja wa watu kama sisi, ambaye unaangukia kwenye baadhi ya lugha hizi mojawapo za mapenzi , fuatana nami.
-Maneno ya...
UTAJUAJE UKO KWENYE MAHUSIANO YA KUDUMU? ISHARA HIZI 5 ZITAKUONYESHA.
Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti, wengine huanza vizuri na kuishia pabaya, na wengine huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda mrefu? Kuna siri gani...
KWA NINI MWANAUME ANAKUAMBIA ANAHITAJI UPENDO WAKO
Wanaelewa kuwa wanawake ni wazuri, sexy, strong and confident- Lakini unafahamu kuwa upendo wako unaweza kumhamasisha?
Hapa kuna sababu kumi kwa nini mwanaume anakuambia anahitaji upendo wako na anakuhitaji wewe ili awe bora. Sikiliza...
MAMBO AMBAYO MWANAUME HUTAMANI KUKUAMBIA, LAKINI HUNYAMAZA TU
Hichi ndicho alichokuwa anafikiria kweli....!
Kitu kimoja kinachotia fora kuhusu jamii ni kiasi gani wanaume hutaka kuongea, lakini hawezi kwa sababu ya kuhofia kuonekana kuwa mkosaji.
Mara nyingi hutamani kuwaambia wasichana kuwa wanawapenda, lakini hawawezi kwa...
SIRI ZA KUMPATA MWANAUME AMBAE UNAFIKIRI KUWA YUKO NJE YA LIGI
Siri zilizojitokeza ambazo utaweza kumpata mwanaume nje ya list yako.
Kwa hio umekutana na mwanaume ambaye anavutia , nice, na yuko nje ya ligi yako, lakini unatamani kutoka nae. Utafanya kitu gani kinachofuata?
Kama umewahi kuwepo...
MWANAUME MWENYE TABIA HIZI, HUMFANYA MWANAMKE ACHANGANYIKIWE
Mambo haya humfanya mwanaume aonekane na mvuto.
Katika umri huu wa kufukuzia na kupimana tabia kwa kila mtu iwe mwanamke au mwanaume, ni kipindi cha kufahamu na kutambua ni yupi anaweza kuwa mwenza wa kudumu.
Kuna...
UKWELI KUHUSU WANAUME NA SEX
Ok, Nafahamu unafikiria hivyo ngoja tufahamu sasa, mwanamke atawezaje kuandika makala kuhusu mwanaume anachohitaji kwenye mwili wake? Nina maana kwamba ingefaa mwanaume aandike hii makala kuhusu mahitaji yao ya kimwili.
Hataweza kufanya hivyo.
Kama...
Wakati Mwingine Najihisi Kama Huenda Umeniambia Aina Tofauti Ya Mapenzi
Huenda umeniambia aina tofauti ya mapenzi, Aina ya mapenzi ambayo Hayapo kabisa Ulimwenguni. Aina ya mapenzi ambayo hutokea mara moja tu katika maisha, Aina ya mapenzi usioweza kusahau.
Umeniambia aina ya mapenzi ambayo ni ya...
HATUA 4 ZA MAPENZI ( IMEELEZEWA NA WANASAIKOLOJIA NA WANASAYANSI)
Julia alinitazama kwa tabasamu ,’’ Fikiria ni kitu gani?’’ alisema mdada.
Ni nini?
‘’Nafikiri nimekupenda’’ alijibu mdada
Vizuri sana, Lakini sikujua kama una mtu tayari’’
‘’Nafahamu tulikutana jana’’Mdada alisema na kuondoka.
Utakuwa umefikiria kuwa kile Julia alichohisi haikuwa ni...