Kwa Nini Watu Wengi Wanaelewa Tofauti Kuhusu Unconditional Love

Upendo usio na masharti Hautokei tu vyovyote.  Mwanzoni mwa mahusiano ya kimapenzi, upendo wa juu unaokuja kwako  na  kukufanya ujisikie kumpenda mtu. Upendo huo ni Upendo wa tofauti. Upendo mpya mara zote  hauna masharti Kitu cha...

Ipo Siku Utakutana Na Mtu Atakayekuonyesha Jinsi Upendo Wa Kweli Ulivyo

Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi  ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya...

Wakati Mwingine Najihisi Kama Huenda Umeniambia Aina Tofauti Ya Mapenzi

Huenda umeniambia aina tofauti ya mapenzi, Aina ya mapenzi ambayo Hayapo kabisa Ulimwenguni. Aina ya mapenzi ambayo hutokea mara moja tu katika maisha, Aina ya mapenzi usioweza kusahau. Umeniambia  aina ya mapenzi ambayo ni ya...

Ipo Siku Utapata Mapenzi Unayostahili

Ipo siku utakutana na mpenzi wa maisha yako,  wakati ambao hukutegemea. Haijalishi umekuwa single kipindi chote cha maisha yako au umekuwepo kwenye mahusiano ambayo yalikuumiza kwa muda wote.  Haijalishi unajiona huwezi kupata mapenzi au umevunjwa...

Usiogope Kumruhusu Mtu Ambae Amekupenda

Wakati mwingine unaweza kuwa single kwa muda mrefu kwa sababu ya kuogopa  na kutokutambua mtu ambaye anaonyesha upendo wa kweli kwako. Upendo ambao unaufanya kwa ajili yako unatosha na unajipa moyo kwamba huna haja  ya...

KWA NINI WEWE NA MWENZA WAKO MSIONGEE LUGHA MOJA YA MAPENZI

Unaonyeshaje Upendo wako? Unataka upendwe kwa njia ipi ndani ya mahusiano yako? Kama wewe ni mmoja wa watu kama sisi, ambaye unaangukia kwenye baadhi ya lugha hizi  mojawapo za mapenzi , fuatana nami. -Maneno ya...

SABABU YA KWELI WANAWAKE KUENDELEA KUTEMBEA NA WANAUME WALIO OA

Jane ni mwanamke mwenye mafanikio, anamiliki kampuni ya kutengeneza mifuko ya plastic, ana studio. Ana akili , anavutia na ni mwenye ujasiri. Pia anatembea na mume wa mtu. Amekuwa akiwauliza rafiki , familia yake...

MWONYESHE MWENZA WAKO JINSI ALIVYO MUHIMU KWAKO KWA MANENO YAFUATAYO

Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama  mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa ambayo watu...

KUPATA MAPENZI YA KWELI NA YA KUDUMU USIWE NA HARAKA

Usiwe na haraka, mambo mazuri  yanahitaji muda  Kuwa single na kuhangaika kutafuta mtu sahihi  mwenye mapenzi ya kweli ambayo yatadumu bado ni  ishu kubwa  watu wanakabiliana nayo siku hizi. Haijalishi ni uwezo gani walionao katika...

JISAIDIE MWENYEWE , CHUKUA HATUA UNAPOONA MAPENZI YAMEKWISHA

Mbinu za kukusaidia unapotengana na mtu au unapotaka kutengeneza upya mapenzi yenu. Mnapokutana na mtu na mnapendana, wote mnaona kama mmegusa nyota moja, kwa muda kidogo, mnakuwa mnatembea hewani. Mara mambo yanabadilika. Inaweza yakawa yanatoka ndani...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article