Posts in category

mapenzi na utashi


Jane ni mwanamke mwenye mafanikio, anamiliki kampuni ya kutengeneza mifuko ya plastic, ana studio. Ana akili , anavutia na ni mwenye ujasiri. Pia anatembea na mume wa mtu. Amekuwa akiwauliza …

0 63

Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama  mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri …

0 58

Usiwe na haraka, mambo mazuri  yanahitaji muda  Kuwa single na kuhangaika kutafuta mtu sahihi  mwenye mapenzi ya kweli ambayo yatadumu bado ni  ishu kubwa  watu wanakabiliana nayo siku hizi. Haijalishi …

0 52

Mbinu za kukusaidia unapotengana na mtu au unapotaka kutengeneza upya mapenzi yenu. Mnapokutana na mtu na mnapendana, wote mnaona kama mmegusa nyota moja, kwa muda kidogo, mnakuwa mnatembea hewani.

0 50

Jinsi gani utaweza kurudisha hamu hio? Ni mwisho wa siku. Tuko nyumbani na wenza wetu , tumesafisha jiko na vyombo vyote, watoto wamelala.

0 51

Wanaelewa kuwa wanawake ni wazuri, sexy, strong and confident- Lakini  unafahamu kuwa upendo wako unaweza  kumhamasisha?

0 49

Kitu kidogo ambacho kinaweza kubadilisha kila kitu ni kujikubali. Ni kwa  jinsi gani Mwanamke mwenye uhuru wake  anahitaji kuwa na  viwango   vyake  inapokuja wakati wa kuhitaji mwenza kwa siku za …

0 36

Kulingana na dalili  zilizopo Inakuaje unapotamka neno hili nakupenda, inaogopesha ? Kama unahisi kuogopa,  unahitaji kuonyesha huo upendo, lakini ipo hatari  kama utakuwa unafikiria kuwa upendo huo  ni wa upande …

0 82

Siri zilizojitokeza ambazo utaweza kumpata mwanaume nje ya list yako. Kwa hio umekutana na mwanaume ambaye  anavutia ,  nice, na  yuko nje ya ligi yako, lakini unatamani kutoka nae. Utafanya …

0 37

Wakati unaotaka kujua  ana maana gani  hasa Wakati mwanaume anapokuwa hajui ni kitu gani hasa anataka,  anaweza kutuma meseji  zenye mchanganyiko wa ishara.

0 35