Posts in category

mapenzi na utashi


Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti,  wengine huanza  vizuri na kuishia pabaya, na wengine  huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda …

0 35

Urafiki wa kimapenzi katika mahusiano ni kama pumzi ndani ya  mapafu. Tunapofikiria  urafiki wa mapenzi,  tunafikiri mguso wa kimwili na  kutamani  kwa kunalazimika, Kitu ambacho kila mtu hakielewi ni  huo …

0 121

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu

1 1.9k

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.

3 553

Ndani ya post  hii kuna mtu amenionyesha kuwa kuna tahadhari ya haraka  ambayo ni, tafakari   inayokukaribisha kwenye maisha  ambayo yatabadilisha njia ya mtu kuwa sahihi na nzuri

0 43

Kusema nakupenda kwa mtu fulani katika maisha yako inaweza kuwa ni rahisi  kuliko kingine,Lakini mara  hisia zako zinapojionyesha na  jukumu lako katika  mahusiano.

2 73

Watu wengi hufikiri kuwa kufanya sex ni chumbani tu, hawaelewi kuwa kubaki chumbani kila siku  kunachoshwa na kukufanya ukose hamasa ya tendo hilo.Maana yake ni ili kuleta uka

0 86

  Fikiria hili swali, Unatarajia kuolewa? wanawake wengi wa Africa  hawawezi kupata ugumu wa kujibu hili swali, na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa wa  kuolewa,

0 70