Category mwanaume na ayfa One article to read

MAMBO 8 YANAYOTATIZA WANAUME KIAFYA. KATIKA TENDO LA NDOA:

  images (7) Kuna maswali mengi huulizwa na wanaume ┬ákuhusiana na afya zao, hasa katika kujamiiana na wenzi wao. lakini nimekuwa nikisikiliza mazungumzo yao mengi,na nikawa na mshangao sana kusikia historia mbalimbali za maisha yao. ni sahihi kabisa . nimeona tushee mambo 8 hapa ┬ákuhusiana na wao.