Category ndoa na familia 55 articles to read

Ndoa Inayobebeka Ni Ipi Nyakati Hizi

Chombo chochote kisichokuwa na vishikio  hakiwezi kubebeka. Mfano beseni lisilo na mashikio yake hutaweza kulibeba.

Nikae Au Niondoke?

Kuamua kukaa au kuondoka baada ya kukamatwa kwenye uzinzi. Kugundua kuwa mwenza wako anakusaliti  mara nyingi ni maumivu ambayo hayavumiliki, Hasa kama mtu hana upendo wa kutosha. Mwenza sio mwaminifu.

Umesahau Kununua Zawadi Kwa Ajili Ya Mwenza Wako?

Hapa Kuna perfect solution. Najua umesahau. Inatokea kwa watu wengi.  Sikukuu na matukio mengi yametokea, nani alikuwa na muda,  Je na mwenza wako?  Mmmm, huenda sio kwa ajili ya kutaka msamaha?

Nini Kusudi La Mungu Katika Ndoa Na Familia

Kusudi la Mungu katika ndoa na umuhimu wa mafanikio katika ndoa. Ndoa ni Mafanikio ya watu wawili. Kuoa Na Kuolewa. Familia ni kundi lenye wazazi, watoto na ndugu wa karibu wanaohusiana.  Ndoa ni watu wawili tu. Mahali pasipo na ndoa hakuna familia.  Familia ni zaidi ya watu wawili.

Tiba Ya Ndoa Ni Muhimu Kwa Ustawi Mpya?

Kizazi hiki sasa hivi wanajali  sana tiba ya ndoa, au ushauri wa wanandoa, kwamba unaboresha  Afya, Furaha, Nguvu na utendaji bora.

Kaa Kwa Sababu Ya Upendo Sio Woga

Kwa nini kujaribu na kujaribu kwa bidii kukaa kwenye mahusiano  yasio na upendo na ambayo hayana Furaha, lakini  unakaa kwa woga. Uchumba kwenye jamii siku hizi ni mgumu,  ni kama kutaka shamba la kumiliki mwenyewe. Mara mtu anapompata mtu wa kuwa naye anatamani  adumu naye. Hata kama kwa kurekebishana ndani kwa ndani. Hata kama hakuna furaha ndani ya mahusiano hayo. Lakini anakuwa anajipa matuamini kuwa yatakuwa mazuri.

Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

  Achana na sababu kubwa kubwa , Badala yake pata Suluhisho la kukuwezesha kufanya  sex . Wanawake tu viumbe wa miujiza, usikubali mtu yeyote kukuambia  vinginevyo . Tunamiliki miili mizuri ambayo ina uwezo wa kutosha kuhimili vishindo vingi. Hii ina maana kwamba unastahili na una thaminika  katika kuwa na maisha ya kushiriki tendo la ndoa . Unastahili kupata faida kwenye tendo hilo ambalo ni afya kwako.