Umesahau Kununua Zawadi Kwa Ajili Ya Mwenza Wako?

Hapa Kuna perfect solution. Najua umesahau. Inatokea kwa watu wengi.  Sikukuu na matukio mengi yametokea, nani alikuwa na muda,  Je na mwenza wako?  Mmmm, huenda sio kwa ajili ya kutaka msamaha? Hapa utapata ukombozi wako. Ok...

Kaa Kwa Sababu Ya Upendo Sio Woga

Kwa nini kujaribu na kujaribu kwa bidii kukaa kwenye mahusiano  yasio na upendo na ambayo hayana Furaha, lakini  unakaa kwa woga. Uchumba kwenye jamii siku hizi ni mgumu,  ni kama kutaka shamba la kumiliki mwenyewe....

Kama KWELI Unampenda, Utamuuliza Maswali Haya Kila Siku

Unauliza maswali haya? Tunapotaka kuwa na mahusiano mazuri na mwenza tunayempenda, Wote huwa tunajaribu kuwasiliana vizuri . Tunafahamu kuwa Mawasiliano mazuri  ni muhimu katika kuleta furaha , ndoa yenye msimamo. Pia tunaelewa  kwamba tukiwa  watu...

NDIO, NI KAZI YAKO KUMFANYA MUME WAKO AWE NA FURAHA

Kwa nini watu wengi huwa tunafikiria kuwa ndoa ndio itatupatia furaha? Napenda kuona ndoa zilivyo na muungano mzuri, zinatumia mapatano--  ambamo kuna sheria zinazohusu uchumi  na faida  au  kusimamia jamii  au kuleta  uzalishaji. na kuwa...

UNAFIKIRIA KUHUSU DIVORCE AU SUICIDE? STOP IT!

Ruhusu ubongo wako to consider radical changes instead. Tunapokuwa tunafikiria kukata tamaa kwenye mahusiano yetu, au kwenye maisha  ya kawaida, mawazo yetu yanakuwa narrowed to whether or not  we are going to give up,  na...

ITATOKEA NINI UNAPOGUNDUA MWENZA WAKO ANAKUSALITI?

Wakati wewe. ni mwanandoa , na ukagundulika kuhusu uzinzi unaofanya kwa mwenzako, utajisikia kama kukwama, whuu! utaumia, utakuwa na hasira na kuvunjika moyo. Na unatamani kufanya kitu, kwa kupatwa na woga , machozi,hasira,kinyongo,maombi, kutuliza akili...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article