KWA NINI WANAUME WANAKUWA WASALITI KWENYE NDOA?.

  Wanaume kutoka nje ya ndoa si kwa sababu wake zao ni wabaya  au hawako smart, haana. wanawake wengine ni wazuri sana na wako smart kabisa , ni nini basi huwapelekea wanaume kutoka nje ya...

HIVI NI KWA NINI, WATU WENGI HAWAPENDI KUISHI NA WAKWE ?

Ngoja tuangalie changamoto zifuatazo, Mwanamume mmoja alisema hivi,   kila wanapopata matatizo ya kifamilia , au wamegombana wao kidogo tu, mke wake hukimbilia kuwaeleza wazazi wake, na mara mume huitwa na baba mkwe na  kukalishwa...

NDOA NI AKILI , HEKIMA NA MAARIFA, SIO KUTUMIA NGUVU.

Kama wewe umeoa tayari , au unatarajia kuingia kwenye ndoa, inakubidi utambue , na kujitambua wewe mwenyewe kuwa  uko tayari kuingia kwenye ndoa, kuna watu wengi ambao wako tayari kwenye ndoa , lakini hawajitambui...

MJUKUU AKAMWAMBIA BIBI YAKE, MUME WAKE ANAMSALITI,BIBI YAKE AKAMWAMBIA:

Hili ni  somo zuri kwa kila mmoja, haijalishi uko kwenye hatua gani ya maisha yako kwa sasa, Utaona namaanisha nini hapa, Binti akamwendea bibi yake na kumwambia kuwa mume wake anamsaliti, na akamwelezea jinsi mambo...

NJIA 3 ZA KUTUNZA NDOA HATA BAADA YA MIAKA MINGI:

  Ni wakati mzuri unapofika  watu wawili wanapoamua kukaa kwa pamoja,  ndoa ya furaha inayokwenda  kuwa na dhamira ya  kuungana kwa maisha yao, wanatoa viapo vyao na kuwekeana ahadi  kwamba watakuwa pamoja. Ni wakati mzuri wa...

JINSI YA KUKOMESHA UGOMVI NYUMBANI:

Itakuaje endapo familia yako imefungwa katika maugomvi kila siku? au labda mwenzio  mara nyingi huwa na mihemko .labda hata hujui  ni jinsi gani ya kukataa ilivyoanza, ndio huenda mnapendana na hutaki mkaumizana . Ni muhimu...

MAMBO 4 WANAWAKE HUFAHAMU KATIKA UAMINIFU

Jiandae… Uaminifu wa kijinsia ni moja ya  kigezo muhimu sana kwenye nia ya  mahusiano-- hasa kwenye ndoa. Bado kuna namba kubwa ya wanandoa wanaopata taabu katika  hali hii ya  uzinzi, wengine wanaita ukafiri,  unaleta maamivu...

KUNA VIGEZO VYA KUIFANYA NDOA IWE NA FURAHA:

  Kuwa na ndoa ni kazi kubwa, ulipoamua kuoa au kuolewa ulisema maneno ambayo ni  kiapo kama wafanyavyo kidini na kimila, ulisema kuwa , nitakupenda,  nitakujali , nitakuwa nawe  popote unapoumwa nitakuwepo, unapokuwa mzima nitakuwepo....

MWANANDOA MWENYE HASIRA: JINSI YA KUTUMIA HASIRA KUONGEZA URAFIKI WENU

Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba Hasira ni mbaya, na kwa sababu hio hatutakiwi kuwa na hasira Kwa hio hatujui...

TABIA ZA KWELI 10 ZA WANANDOA WENYE FURAHA.

Inasemekana kuwa ndoa yenye furaha ni ile ambayo  umepata mtu sahihi katika maisha yako, lakini mimi naona hio sio kweli,  mahusiano huhitaji kazi ya kujitoa ,  ndoa ya furaha inahitaji kutengenezwa na mahusiano ya...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article