NJIA 3 ZA KUTUNZA NDOA HATA BAADA YA MIAKA MINGI:

  Ni wakati mzuri unapofika  watu wawili wanapoamua kukaa kwa pamoja,  ndoa ya furaha inayokwenda  kuwa na dhamira ya  kuungana kwa maisha yao, wanatoa viapo vyao na kuwekeana ahadi  kwamba watakuwa pamoja. Ni wakati mzuri wa...

NDIO, NI KAZI YAKO KUMFANYA MUME WAKO AWE NA FURAHA

Kwa nini watu wengi huwa tunafikiria kuwa ndoa ndio itatupatia furaha? Napenda kuona ndoa zilivyo na muungano mzuri, zinatumia mapatano--  ambamo kuna sheria zinazohusu uchumi  na faida  au  kusimamia jamii  au kuleta  uzalishaji. na kuwa...

MJUKUU AKAMWAMBIA BIBI YAKE, MUME WAKE ANAMSALITI,BIBI YAKE AKAMWAMBIA:

Hili ni  somo zuri kwa kila mmoja, haijalishi uko kwenye hatua gani ya maisha yako kwa sasa, Utaona namaanisha nini hapa, Binti akamwendea bibi yake na kumwambia kuwa mume wake anamsaliti, na akamwelezea jinsi mambo...

Mchague Mtu Unaempenda Kila Siku- Au Kila Unapoondoka

Ni rahisi kama hivi. Alikuwa mwanamke mzuri, mwenye ujuzi, mwenye furaha na alikuwa anavutia na mwenye hisia za kutosha. Angeweza kufanya maisha yako yote kuwa ya furaha ukiwa naye kwa haraka .Ubongo wako kukaa vizuri...

WANAWAKE WALIOLALA NA WANAUME WA KIASI HIKI , UWEZEKANO WA TALAKA NI MKUBWA

Wow. Kwelii??? Napenda kufikiri kuwa mwanamke ambae anaweza kudumu katika ndoa ni yule ambae amejitunza, yule ambae ni bikra , hajawahi kukutana na mwanaume  yoyote mpaka siku ya harusi yake Hata hivyo  wachunguzi wameona kuwa...

UTAOMBAJE MSAMAHA UNAPOKUWA UMETENDA KINYUME NA AHADI YAKO:

Katika ndoa na familia , sehemu hii ni mahali  pa baraka , mafanikio , upendo na amani , lakini kuna kitu watu wanaita shetani kanipitia, sasa wakati shetani anakupitia  ulikuwa kimya tu husikii maumivu...

SIFA AMBAZO MWANAMKE HUZITAFUTA KWA MUME WAKE

ukweli, ulinzi, imani. ucheshi......... Ukweli uliopo, Hakuna mkamilifu; Wote tuna sifa nzuri na pia tunazo sifa mbaya. Lakini,Inapokuja katika kuoana , Ni sifa zipi mwanamke hutafuta kwa mwenza? Kwenye makala hii , Kuna baadhi ya...

Nani Analala Vibaya ,Mwanamke Au Mwanaume?

Sababu inayotufanya kulala vibaya ni kulala karibu ya mwingine. Wanasayansi wamethibitisha  kuwa mtu anayekoroma zaidi  ni mwanaume sio mwanamke. na mara nyingi wanawake wanashindwa kulala kwa sababu ya kelele hizo za kukoroma. Ni asilimia ndogo...

KUHUDUMIANA SISI KWA SISI

Kuanza tiba ya ndoa inaweza kuwa ni Azimio la mwaka mpya  ambalo hujawahi  kufanya. Majira haya  ya azimio ya mwaka mpya  la kutengeneza familia zetu, kuhudumiana, kuacha baadhi ya tabia kama vile ulevi wa pombe,...

ITATOKEA NINI UNAPOGUNDUA MWENZA WAKO ANAKUSALITI?

Wakati wewe. ni mwanandoa , na ukagundulika kuhusu uzinzi unaofanya kwa mwenzako, utajisikia kama kukwama, whuu! utaumia, utakuwa na hasira na kuvunjika moyo. Na unatamani kufanya kitu, kwa kupatwa na woga , machozi,hasira,kinyongo,maombi, kutuliza akili...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article