Posts in category

ndoa na familia


  Achana na sababu kubwa kubwa , Badala yake pata Suluhisho la kukuwezesha kufanya  sex . Wanawake tu viumbe wa miujiza, usikubali mtu yeyote kukuambia  vinginevyo . Tunamiliki miili mizuri …

0 66

Mahusiano yanapoharibika. Kila mahusiano yana mikono miwili. Mmoja uko juu mwingine chini. Mkono wa kwanza unafahamu makubaliano kati ya wawili, unasema  , ”Tutasaidiana’, Kujali mahitaji ya kila mtu,  kusikilizana na …

0 71

Unauliza maswali haya? Tunapotaka kuwa na mahusiano mazuri na mwenza tunayempenda, Wote huwa tunajaribu kuwasiliana vizuri . Tunafahamu kuwa Mawasiliano mazuri  ni muhimu katika kuleta furaha , ndoa yenye msimamo. …

0 57

Hakuna Muda Mbaya wa kufanya mambo sahihi. Kuna muda sahihi wa kuoa au kuanza mahusiano ya kudumu? swahi hili nimelipata kutoka kwa mteja wangu mmoja. 

0 99

Watafiti wameonyesha kuwa wale wanaosikiliza kwa makini  wamekuwa na mafanikio makubwa katika mahusiano yao. Katika sehemu nyingi ambazo nimegundua katika mahusiano kuna mtu mmoja anayeongea sana na mwingine huwa anasikiliza …

0 37

Sababu inayotufanya kulala vibaya ni kulala karibu ya mwingine. Wanasayansi wamethibitisha  kuwa mtu anayekoroma zaidi  ni mwanaume sio mwanamke. na mara nyingi wanawake wanashindwa kulala kwa sababu ya kelele hizo …

0 36

Ni rahisi kama hivi. Alikuwa mwanamke mzuri, mwenye ujuzi, mwenye furaha na alikuwa anavutia na mwenye hisia za kutosha. Angeweza kufanya maisha yako yote kuwa ya furaha ukiwa naye kwa …

0 34

Wanandoa wanapokuwa pamoja kwa muda mrefu mambo huanza kubadilika, unaweza kuanza kupoteza tumaini kwenye mahusiano yako. Inatokea, Kila ndoa inapitia  kipindi fulani  katika maisha. Hapa kuna baadhi ya maneno ya …

0 34

Kwa wale ambao wanataka kuoa na kuolewa. hata wewe ambae umeoa na kuolewa inakuhusu. Kwa nini unapingana na ndoa? Nafahamu unapingana na ndoa, lakini mimi bado nahitaji kuolewa. Kama unaweza …

0 34

Na utafanyaje Kurekebisha Haya. Mahusiano sio jiwe kama watu walivyo sio mawe. Tunabadilika kila mara.Tunawezaje kushughulikia mabadiliko haya , ingawa tuna uwezo wa kutosha na sifa tunazo  lakini inatokea  tofauti …

1 38