Posts in category

ndoa na familia


Pamoja na matatizo, furaha, kutoelewana kwa kila mmoja, lazima ufikirie kuhusu viapo vyenu mlivyoahidi kwa pamoja, Vina maana gani .kwa miaka yote ijayo? Mnaheshimu hivyo viapo?  Vinaonyesha maana gani kila …

0 34

Naandika hii makala kwa sababu nimekutana na maswali mengi  ambayo yanaumiza wanawake wengi. Swali linakuwa hivi.

0 62

Kwa nini watu wengi huwa tunafikiria kuwa ndoa ndio itatupatia furaha? Napenda kuona ndoa zilivyo na muungano mzuri, zinatumia mapatano–

0 77

Ok ,  wewe sio yule mwanaume wa kutisha. Lakini yapo mambo mabaya ambayo unamfanyia mke wako  na kuharibu uzuri wa ndoa yako. Mke wako anastahili  kitu bora kutoka kwako  kuliko …

0 34

Alisema. Mume wangu ,safari ,na mimi , tumekuwa  kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 8 sasa; kabla ya ndoa  tulikuwa na mahusiano kwa zaidi ya  mitano,  niwe mkweli kwako, ni …

0 59

Mahusiano sio kitu rahisi ; ni kazi ngumu kweli, unahitaji kustahili kutokana na kazi ambayo unaifanya kwa ajili ya  mahusiano hayo.

1 45

ukweli, ulinzi, imani. ucheshi……… Ukweli uliopo, Hakuna mkamilifu; Wote tuna sifa nzuri na pia tunazo sifa mbaya. Lakini,Inapokuja katika kuoana , Ni sifa zipi mwanamke hutafuta kwa mwenza? Kwenye makala …

0 62

Mteja wangu mmoja alikuja na kitu kipya , yeye ni mtu wa miaka 45 hivi, alisema tangu akiwa mdogo  kwenye miaka 16 alikuwa akisikia jinsi ya kupunguza uzito, kwa sababu …

0 65

Mama yangu alikuwa akininyoa nywele wakati ambao ulikaribia kurudi  shuleni  na wakati huo nilikuwa nipo high school, Na ni wakati ambao nilianza mahusiano na msicha ambaye niliona nampenda sana.

0 55

Ruhusu ubongo wako to consider radical changes instead. Tunapokuwa tunafikiria kukata tamaa kwenye mahusiano yetu, au kwenye maisha  ya kawaida, mawazo yetu yanakuwa narrowed to whether or not  we are …

0 45