Posts in category

ndoa na familia


  Ni wakati mzuri unapofika  watu wawili wanapoamua kukaa kwa pamoja,  ndoa ya furaha inayokwenda  kuwa na dhamira ya  kuungana kwa maisha yao, wanatoa viapo vyao na kuwekeana ahadi  kwamba …

0 69

  Kuwa na ndoa ni kazi kubwa, ulipoamua kuoa au kuolewa ulisema maneno ambayo ni  kiapo kama wafanyavyo kidini na kimila, ulisema kuwa , nitakupenda,  nitakujali , nitakuwa nawe  popote …

0 34

Ukumbi ulikuwa umejaa kwa muda huo, akaanza kutoa story ya ndoa yake ni wapi ilipo  sasa.Kama umeolewa,Kuna sehemu nina uhakika itafanana  tu na kwako, hasa ile ya mwishio.

0 34

Ngoja tuangalie changamoto zifuatazo, Mwanamume mmoja alisema hivi,   kila wanapopata matatizo ya kifamilia , au wamegombana wao kidogo tu, mke wake hukimbilia kuwaeleza wazazi wake,

0 77

Hili ni  somo zuri kwa kila mmoja, haijalishi uko kwenye hatua gani ya maisha yako kwa sasa, Utaona namaanisha nini hapa,

0 65

Siku hizi watu wanaingia kwenye ndoa bila kutambua ni nini wanachokitaka ndani ya ndoa , yawezekana ni wewe tayari umeingia kwenye ndoa , lakini  hata hujui kwa nini,  unaoa.Mungu alimuumba …

4 39

  Wanaume kutoka nje ya ndoa si kwa sababu wake zao ni wabaya  au hawako smart, haana. wanawake wengine ni wazuri sana na wako smart kabisa , ni nini basi …

1 93