KUNA NAMNA YA KUMJUA MWANAUME KUWA SIO MWAMINIFU.

  Kwa kawaida tu penye mahusiano ya watu wawili kuna maelewano ya kawaida , na kuna kutofautiana pale mmoja anapokuwa msaliti kwa mwenzake. Wenza wengi wamekuwa wapweke kwa sababu ya kusalitiwa na kuachwa. Pamoja na...

JIEPUSHE NA MAMBO YAFUATAYO 10, BAADA YA KUACHWA:

Watu wengi  hawana bahati ya kuwepo kwenye mahusiano ya kudumu, ingawa kuna msemo usemao kuwa , kuolewa ni bahati na sio lazima. Ni kweli kabisa kuolewa ni bahati. maana ingekuwa lazima basi hakuna mwanamke...

NITAMSAMEHE VIPI MTU ALIENISALITI NA KUNIUMIZA MOYO WANGU.

Kama hujawahi kuumizwa na mtu fulani, ukaumia ndani kabisa,  inawezekana unatembea na hayo maumivu ndani ya mwili wako-hata kama ilitokea miaka iliopita .muda huwa hauponyi vidonda  vilivyopo,mpaka ushughulikie tatizo , tunatunza maumivu hayo ndani ya...

KITU CHA KUKUSAIDIA UNAPOPATA UPWEKE WA KUZIDI KUTOKANA NA TALAKA ULIOPATA

Nyenzo tatu  za kukusukuma kuondokana na maumivu na kuweza kusonga mbele. Fatuma amekuwa mpweke tangu alipoachana na mume wake mwaka uliopita. Aliniita baada ya kusoma makala moja kuhusu jinsi ya kupambana  na upweke. Alisema  kuwa ni...

RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Nashukuru, Lakini Hapana. Kama uko single lakini unahitaji mtu wa kuwa nae, wakati mwingine  utapata  rafiki ambae huhitaji kupata faida  inaweza kuwa ni jibu  la muda lililo sahihi.  Kuna kitu unachopata kilicho  bora kwake na...

jinsi ya kusimamia maumivu sugu:

kuongezeka kwa maumivu  ni pale mtu anapokosa utulivu, maumivu ni  dalili ya kitu fulani kilichopo ndani ya mwili  ,au ambacho kipo kwenye akili ya mtu.ni kitu ambacho kina tatizo kubwa  na ni hatari , nakitu...

NGUVU ILIYOKO NDANI YA SONONEKO, SIKITIKO NA HUZUNI:

Sijui kama unaelewa kama dunia ya sasa imebadilika kiasi kwamba   huwezi hata kumsaidia mtu  au jirani  pindi panapotokea tatizo.  unaweza ukawa unapita sehemu ukaona mtu anapigwa lakini ukashindwa kumsaidia , ukabaki unaumia ndani...

MAUMIVU MAKALI (MIGRAINE) HUJA KUTOKANA NA KUKOSEKANA VITAMINI MWILINI, WATAFITI WAMEGUNDUA :

Ni wale tu wenye migraine ndio wanaojua maumivu haya jinsi yanavyosumbua , kubaki na haya maumivu kwa miaka mingi, naweza kusema kwamba wanaosumbuka na  wanaumia sana. Umejaribu kuangalia labda ni kwa sababu ya mwanga...

Njia 5 Akili Yako Imekudanganya Wakati Ulipovunjwa Moyo

Ulipovunjwa moyo Akili yako ilikutaka uwe unakumbuka maumivu tu kila wakati. Maumivu ya hisia ambayo yanatokana na kuvunjika moyo yanasababisha magonjwa makubwa yasiotibika. Kwenye hatua hii huwa hakuna mtu anayehusika, wala kitu chochote. Wewe mwenyewe unaweza...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article