Njia Nzuri Ya Kuponya Huzuni Uliyonayo

Ni rahisi kuliko unavyofikiria. Hata kama umepotelewa na mtu uliyempenda sana,  Au Umekatishwa tamaa, Huzuni haikubaliki  kila mahali. lakini kabla ya kutibu twende tuone huzuni inatokea wapi. Watu wengi sana wanachanganya huzuni na masikitiko. Masikitiko...

Unahitaji Kufahamu Vitu 11 Kuhusu Process Ya Uponyaji

1.Maumivu yapo. Maumivu hutokea mara, ni kitu kisichozuilika, ni sehemu iliyoumizwa na inahitaji utaratibu wa kupona,  Ili kusonga mbele kutokana na hisia za kuumizwa itabidi utambue  aina ya maumivu. Machozi ya wakati huu sio udhaifu,...

Vita Ya Ndani Isikufanye Ujisikie Mpweke Kupitiliza

Wakati mwingine natamani kama shida zangu zisingekuwepo.  Natamani kama matatizo yangepotea mbali,  Wakati mwingine naona kama siwezi kuyaambia yaondoke. Hata sipendi kuyaongelea,sio kwa sababu ya aibu lakini sitaki mtu yeyote apate wasiwasi, awe na wasiwasi...

Sio Peke Yako: Jinsi Ya kujaza Uwazi Ndani Ya Moyo Wako

Jifunze jinsi ya kuondoa vizuizi na kuachia wengine waje kwako. Katika kupambana na upweke  katika Ulimwengu huu,  Ni moja ya hisia  yenye ngumu  zaidi ya kuwa peke yako, unaweza kuwa unahisi maumivu ya kuwa peke...

Hivi Ndivyo Inavyokuwa Kuanza Maisha Bila Wewe

Nilipoanza maisha yangu baada ya kutengana na wewe siku kadhaa, niliamka nikiwa sina kitu , baridi, upepo , maumivu  yalikuwepo ndani ya kifua changu. Mwili wangu ulikuwa mnyonge, Akili yangu ilikuwa ya kinyonge, Moyo wangu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article