Posts in category

uzazi


Itakuaje kama  mtoto wako atachagua kufanya kitu ambacho sio sahihi na wakati anaelewa kuwa ni mabaya kutoka kwenye mazuri?

0 49

Inaonyesha kuwa ushauri una mapana  Duniani siku hizi.  Mojawapo ya ushauri huo ni Uzingatiaji uliopo  kwenye uhuru na picha kubwa  inayofikiriwa. Kutokuafikiana , na kumpa mtoto uhuru wa kujieleza  bila …

0 42

Siku unapogundua una mimba , nafikiri huwa ni siku ya furaha hasa kwa wale wanaodhamiria kupata mtoto .  lakini hata wale ambao huwa mimba zinatungwa bila ya maamuzi yao.

0 45

Inapokuja wakati wa kupata watoto,  kuna vitu vingi vya kuangalia : Nina afya nzuri na nina uwezo wa kutunza mtoto? Nimepata mwenza sahihi ambae hataweza kuniachia mzigo wa matunzo? Niko …

0 34

  Kuwa mzazi ni changamoto kubwa, Hata kama utaamua kukaa nyumbani  kujaribu kuweka sawa  kazi na  maisha ya familia .

0 52

Zoezi la kumsaidia mtoto ili awe na ufahamu mzuri kila siku katika maisha yake Baadhi ya watoto na baadhi ya wazazi –huonekana kuwa

0 45

Kumfundisha mtoto wako huruma ni zawadi ambayo ataitunza katika kutoa. Sio kitu kidogo siku hizi. kwa sababu ya ubinafsi wa watoto wakiwa bado wadogo unaounganishwa na uchoyo , ambao

0 37

Tunapokuwa na watoto, wengi wetu tunapata taarifa nyingi tuwezavyo kutoka kwenye vitabu, ushauri wa marafiki au ufahamu wowote kutoka kwenye internet.

0 46

Kuwafundisha watoto kuchangia vitu na watoto wengine inweza isiwe na faida kwao baadae. Tunatakiwa kufanyaje badala yake?

0 49

Sijawahi kukutana na mzazi ambaye hapendi mtoto wake  awe na furaha, lakini  mara nyingi wazazi wanakuwa wanawazia mambo mazuri watoto wao,  na kutoka kizazi hata kizazi  kunakuwa na mafunzo ya …

0 34