Kwa Nini Nafikiri Wanaume Wote Wanahitaji Therapy:

  Niseme tu kuwa kuna haja ya kuwaambia wanaume. kusema kweli wanaume wa sasa wanahitaji tiba , ila cha ajabu sijawahi kumuona  anayeweza kuwatibu kuhusu malezi kwa ujumla.huu ni ukweli bila unafiki , ajitokeze mwanaume...

TABIA MOJA AMBAYO ITAKUFANYA UWE MZAZI BORA ZAIDI:

Kila dakika kwa siku imehesabiwa ,wakati unapofanya chochote hapa duniani , kama ni kazi za ofisini , kama ni mfanya biashara, mtu wa pesa benki, ni mtu wa kusafiri mara kwa mara, labda ni...

HII MILA MOJA INAWEZA KUTUSAIDIA SISI KULEA WATOTO WENYE UTULIVU

Inaonyesha kuwa ushauri una mapana  Duniani siku hizi.  Mojawapo ya ushauri huo ni Uzingatiaji uliopo  kwenye uhuru na picha kubwa  inayofikiriwa. Kutokuafikiana , na kumpa mtoto uhuru wa kujieleza  bila ya kuwa na woga...

TIBA YA CHAI YENYE VIUNGO NI NZURI KWA WAMAMA WAPYA KUTUMIA KILA SIKU.

Mama baada ya kujifungua tumbo lake huwa kubwa kwa sababu ya uzazi, mama anapotumia  kinywaji hiki cha chai yenye viungo mbalimbali kila siku inamsaidia kuondoa mafuta na manyama yalioko ndani ya tumbo lake ambao...

NJIA 5 ZINAZOZALISHA UPENDO, HURUMA KWA WATOTO WAKO

Kumfundisha mtoto wako huruma ni zawadi ambayo ataitunza katika kutoa. Sio kitu kidogo siku hizi. kwa sababu ya ubinafsi wa watoto wakiwa bado wadogo unaounganishwa na uchoyo , ambao unatokana na tabia ya mila zao,...

UKITAKA WATOTO WAKO WAWE NA MAFANIKIO BAADAE, ONGEA NAO KWA NJIA HII.

Tunapokuwa na watoto, wengi wetu tunapata taarifa nyingi tuwezavyo kutoka kwenye vitabu, ushauri wa marafiki au ufahamu wowote kutoka kwenye internet. wengi wao huenda na hizo na kufanya kilicho sahihi. mwisho wake, kila mtu anahitaji...

KAMA UNA MAMA MWENYE NGUVU KAMWE USIMUUMIZE.

  Ni ngumu kufahamu kuwa ni kipi kinachompa mama nguvu, inawezekana  inatokana na kawaida yake, jinsi alivyoumbwa, au amekuwa na uwezo wa kukabiliana na mambo magumu katika ma isha yake. Haijalishi  ni sababu gani lakini mama...

FURAHA INATOKA WAPI, MAMA?

Zoezi la kumsaidia mtoto ili awe na ufahamu mzuri kila siku katika maisha yake Baadhi ya watoto na baadhi ya wazazi --huonekana kuwa na furaha na tabasamu na kicheko. Wengine huwa na woga zaidi na...

KUNA UMRI SAHIHI WA KUBEBA MIMBA?

Inapokuja wakati wa kupata watoto,  kuna vitu vingi vya kuangalia : Nina afya nzuri na nina uwezo wa kutunza mtoto? Nimepata mwenza sahihi ambae hataweza kuniachia mzigo wa matunzo? Niko tayari na ni muda...

WAMAMA WATULIVU WAMEONA JINSI KAZI ILIVYO–KUSAWAZISHA MAISHA

  Kuwa mzazi ni changamoto kubwa, Hata kama utaamua kukaa nyumbani  kujaribu kuweka sawa  kazi na  maisha ya familia . kuna mambo mengi, kujipenda, kusamehe, na kuwa na uvumilivu,ili kutunza mambo yote yaende vizuri. Kama mama...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article