KUWAFUNDISHA WATOTO JINSI YA KUJIDHIBITI .

Changamoto: Mtoto wako ni wa umri wa miaka 6 tu, lakini anaonekana hana dhana ya kujizuia. kama akiona kitu anakitaka, atakitaka muda huo huo hata kama huna hela, na kama akipata hasira , mara...

TIBA YA CHAI YENYE VIUNGO NI NZURI KWA WAMAMA WAPYA KUTUMIA KILA SIKU.

Mama baada ya kujifungua tumbo lake huwa kubwa kwa sababu ya uzazi, mama anapotumia  kinywaji hiki cha chai yenye viungo mbalimbali kila siku inamsaidia kuondoa mafuta na manyama yalioko ndani ya tumbo lake ambao...

KAMA UNA MAMA MWENYE NGUVU KAMWE USIMUUMIZE.

  Ni ngumu kufahamu kuwa ni kipi kinachompa mama nguvu, inawezekana  inatokana na kawaida yake, jinsi alivyoumbwa, au amekuwa na uwezo wa kukabiliana na mambo magumu katika ma isha yake. Haijalishi  ni sababu gani lakini mama...

TABIA MOJA AMBAYO ITAKUFANYA UWE MZAZI BORA ZAIDI:

Kila dakika kwa siku imehesabiwa ,wakati unapofanya chochote hapa duniani , kama ni kazi za ofisini , kama ni mfanya biashara, mtu wa pesa benki, ni mtu wa kusafiri mara kwa mara, labda ni...

Kwa Nini Nafikiri Wanaume Wote Wanahitaji Therapy:

  Niseme tu kuwa kuna haja ya kuwaambia wanaume. kusema kweli wanaume wa sasa wanahitaji tiba , ila cha ajabu sijawahi kumuona  anayeweza kuwatibu kuhusu malezi kwa ujumla.huu ni ukweli bila unafiki , ajitokeze mwanaume...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article