CHAKULA KIMOJA KINACHOHARIBU HAMU YA TENDO LA NDOA.

Matatizo haya yameingilia maisha binafsi ya mtu mmoja mmoja. Utakuta  hawapendi hata kusikia , na mara nyingi wengi hujilaumu hata kuingia huko kwenyewe . Kwa wengi nilijaribu kuongea nao ili kujua  aina ya mtindo wa...

SIFA 8 ZA KWELI ZA UZURI WA MWANAMKE

Katika siku na umri na mahali ambapo pana mkazo wa uzuri  , Mara nyingi tunasahau   sifa  zinazoelezea  uzuri hasa wa mwanamke. Wanawake wote ni wazuri  na  wana msukumo wa kweli,  na ni wa kipekee...

NI MAUMIVU MAKALI YA KUACHWA NA MWANAUME:

Mara nyingi mwanaume anapokuacha ni dhahiri kuwa hakuwa na mapenzi ya kweli kwako, na wala hakuwa na hisia  za kweli kwako hata hakuvutiwa nawe toka mwanzo, kama hakuwa na mvuto wowote na hakukuonekana muunganiko wowote...

MAMBO 6, MWANAMKE AMBAE NI MGUMU WA KUPENDA ANAWEZA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAHUSIANO YAKE...

Mahusiano kwa kawaida ni magumu, ingawa kila kitu   katika hayo ni  kufurahia, inahitaji kujitoa na kuwa na uzoefu, kujaribu kwa bidii n.k., bado ni kazi kubwa, na ni ngumu unapokuwa ni mwanamke ambae ni...

KITU KIMOJA WANAWAKE WANATAKA

Kitu gani wanawake wanataka? Haya ni maswali wanaume wengi wamekuwa wakiulizana wenyewe kutoka karne na karne na  bado hawajapata  jibu. Kusema kweli siku hizi  inaonekana wanaume na wanawake wamekuwa  wakitengana sana kuliko  kabla. Kutokuelewana,  taarifa...

KWA NINI WANAWAKE WENGI HAWAJIAMINI ;

Kujiamini ni kitendo cha mtu binafsi kuwa na ujasiri wa kufanya mambo makubwa pasipo msaada wa mtu mwingine ,yaani bila kutegemea mume au ndugu  , ni ile kumtegemea Mungu tu  kwa imani yake mwenyewe. MWANAMKE:...

NJIA 6 ZA KUJISALIMISHA SIKU YA MAMA DUNIANI:

Uko tayari kwa siku hii?  sina maana kuwa upeleke maua au kadi kubwa, nina maana kuwa ni siku ya furaha kwa mama. kuna wengine wengi tu hawana mahusiano mazuri na mama zao, hata hivyo,...

WANAUME WANAOBAKA WATOTO WANASABABISHA MAUAJI.

Msichana wa miaka 16 amejiua  baada ya kubakwa na baba yake  na akagundua kuwa ameambukizwa ukimwi, na si ukimwi tu bali na mimba juu. Msichana huyo alibakwa na baba yake wa kambo huko katika mji...

Mume Akataka Talaka, Kwa nini?, Kwa Sababu Eti Mke Hafanyi Kazi:

AKAENDA KWA MSHAURI KUULIZA;, Hili ni somo zuri kwetu sote, haijalishi  upo hatua gani katika maisha yako ya ndoa. utaoona namaanisha nini hapa. Mwanaume alichanganyikiwa kwa ajili ya mke wake kwa kutofanya kazi.na kutowajibika ipasavyo katika...

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. WANAWAKE AMBAO WANAWEZA KUKUHAMASISHA UWE BORA WEWE...

2017,Wanawake wamepata mwamko zaidi kuhusu afya zao , kuliko miaka ya nyuma, kutoka mwanamke mmoja hadi kwenda kusaidia wanawake wengine, inaonyesha wazi wanawake hawa  wanafanya dunia iwe na  watu wenye afya nzuri., kwa kuheshimu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article