FURAHA INATOKA WAPI, MAMA?


551d27b2470daf6fc4ae222660b5e6e5-1024x643 FURAHA INATOKA WAPI, MAMA?

Zoezi la kumsaidia mtoto ili awe na ufahamu mzuri kila siku katika maisha yake

Baadhi ya watoto na baadhi ya wazazi –huonekana kuwa na furaha na tabasamu na kicheko. Wengine huwa na woga zaidi na huwa na mawazo mabaya , kuwazia watu wengine mabaya kuhusu na furaha na mafanikio yao. na hasa katika wakati huu wa likizo za watoto za mwisho wa mwaka

Wakati mwingine mtoto ambaye hana furaha anaweza kumuuliza baba au mama swali kama, ” Furaha inatoka wapi?”

Furaha inaweza kufundishwa.

Furaha haifanyi kazi kwenye mali, rangi, hali ya ndoa. hata kama ni tajiri, masikini, mweusi, mweupe, yellow; umeachwa, single, au umeolewa na unafuraha, unaweza kumsaidia mtoto kufanya uchaguzi utakaomletea furaha.

o-SAD-BLACK-MOTHER-CHILD-facebook-1024x512 FURAHA INATOKA WAPI, MAMA?
Mother comforting daughter (8-10) outdoors

1.Furaha Huanzia Kwenye Kuweka Mambo Sawa.

Jitahidi katika kuhakikisha unamwendeleza mtoto wako katika afya njema , tabia njema kwenye chakula, mahali pa kulala, kumpeleka sehemu mbalimbali kucheza kwa ajili ya mazoezi yake, kumuombea, kumfundisha mambo ya kiroho na hali ya mwili wake.

2.Fundisha Vitendo Vya Wema.

Watu wenye furaha huwafanyia wengine wema, lakini pia hufanya kwa njia ya kinyume. kuwafanyia watu wema itakufanya wewe ujisikie vizuri. Mshauri mtoto wako kufanyia watu wema kuwa ni nafasi nzuri ya kujiendeleza katika kuwa na furaha. Ni kitu ambacho hutegemei, kitu ambacho hakina faida kwa mfaidikaji. nyumbani kwangu huwaambia watoto kufanya hivyo kila inapowezekana, inabadilisha tabia zao na haki ya kukubaliwa.

3. Sema Nakushukuru.

Kuelezea tabia ni njia mojawapo ya kubadilisha ubongo wako kikemia na kwenye mazingira ya kijamii katika njia ilio sahihi. kujisikia mwenye shukurani hubadilisha malengo yako kutoka kwenye makosa na kukupeleka kwenye njia sahihi katika maisha yako. Watu wengine hupata hii na kuvutia nacho, na watu wenye shukurani hupata hii zaidi na zaidi na kuwa wenye shukurani .

4.Kubali Kuchelewa Unapojifunza Fursa.

Unapowalaumu wengine kwa makosa ya kawaida, utajisikia kama una utakatifu , lakini hutajisikia furaha, na utawachukiza wengine.kama badala ya kujifunza kukaribisha matatizo na kuwaona kama ni nafasi ya kugundua kitu unachohitaji kujifunza zaidi kuhusu wao. Utajifunza kutokana na makosa yako, Utavutiwa zaidi kukutana na changamoto za hatari mbele yako.

Sio kinafanya tabia hii tu– inaitwa akili iliokua.—itakusaidia kuongeza furaha, lakini pia itakusaidia katika mafakio makubwa katika kila sehemu ya maisha, kutoka urafiki kupitia mafanikio ya masomo ya ukamilifu wa kazi.

5.Tafuta Wazo La Kawaida.

Fuata maslahi ya mtoto na ya kwako . uwe na muda wa kukubali kupunguza makali ya ya vitambaa maalum, uwe na ulimi bora wa kupunguza makali unapolea, ondoa sauti ya ukali ya kushangaza kama muziki wenye fujo.

6.Uwe Na Shauku.

Fikiria kitu rahisi ambacho kitakujaza shauku, kama ni kupika, kucheza, kuangalia movies, au kuandika kitabu. mshirikishe mtoto. ongea nae kuhusu shauku ulionayo pamoja nae.

7.Tunza Furaha Ya Uandishi.

Pata muda wa kuwasiliana na watoto wako wakati wa mchana– na wakati kabla ya kwenda kulala, mahali unapokuwa kwenye matukio mbalimbali kwa siku. Andika kwenye kitabu chako furaha yeyote iliotokea. unaweza kuonyesha kwa kuchora au kwa kupiga picha au kuchukua video ya tukio.

Kuna faida katika kukumbuka mambo mazuri ya ufahamu. utasaidia watoto wako kuwahamisha kutoka kwenye mawazo mabaya kwenda kwenye mawazo mazuri, na sio watoto peke yao hata wewe pia, utapata furaha nzuri, furaha ya dhahabu ambayo itawaongoza kwenye maisha yao na ya kwako.

Utainua nafasi ya watoto wako ya kutengeneza na kuzalisha furaha maishani mwao.

blackwoman FURAHA INATOKA WAPI, MAMA?
mother and daughter laughing — Image by © Granger Wootz/Blend Images/Corbis

Umependa hii makala? shirikisha wengi wajifunze.

 

Previous KWA MAANA HUJAWAHI KUPITA NJIA YA JINSI HII BADO
Next JINSI NILIVYOPONA MAUMIVU SUGU YA MGONGO NA MIGUU BILA DAWA.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.