black-woman-drinking Huyu Ndiye Msichana Anayejifunza Kuipenda Nafsi Yake

Ana akili ya dhahabu

Utayari wake ni wa kujifunza

Ni kitu ambacho hakiwezi kumpita.

Anatumia muda wake kujifunza kujipenda mwili wake katika hali anayoitaka.

Anajifunza kuulisha mwili, roho yake, akili yake ili kuweka katika hali nzuri.

Moyo wake una kitu fulani cha kweli kinachomfanya awepo.

Anajifunza kutobaki na maumivu ya kuumizwa kwenye mahusiano, Na hakuna kitu cha kumuzuia kupenda tena

Amefunikwa na upendo , uzuri wake unakua kila siku.

Uzuri wake unakua toka ndani ya moyo wake. Hadi kwenye tabasamu.

21909373_714203775446044_7947983005841096704_n Huyu Ndiye Msichana Anayejifunza Kuipenda Nafsi Yake

Ni wa kipekee.

Ni mzuri.

Amejitambua.

Yuko sawa na hilo.

Subscribe kupata kitu kipya kila mara.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here