maxresdefault-1-1024x582 Ipo Siku Utakutana  Na Mtu Atakayekuonyesha Jinsi Upendo Wa Kweli Ulivyo

Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi  ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya njia itakayo kufanya wewe ujisikie  tofauti. hutaogopa kupenda na kupendwa.

Siku moja utakutana na Upendo utakaoufurahia.  Hutaweza kufikiria mara mbili. Hutaweza kuwa na wasiwasi kwamba anakupenda au hakupendi.

‘Utafahamu tu.

Kwa mtu huyu hutaweza kuficha tabia yako.  hutaficha madhaifu yako  na usumbufu wako. hutakuwa na mawazo ya itakuwaje kama  ata kupandia kichwani. hutakuwa na  maswali  ya kujua muhimu wake na hutakuwa na labda.

Wakati ukikutana na mtu huyu  hutaingiwa na woga.  hutaweza kufikiri fikiri kitu chochote.  hutaweza kufikiria upendo wake kwako. Na wakati anaposema hawezi kwenda mahali , utafahamu kuwa ni kweli.

Wakati huo hutasikia kukosa kitu ndani ya moyo wako,  hutasikia  upweke,  hutaweza kusikia chochote kinyume na upendo uliopo.

44240-True-Love-Never-Ends Ipo Siku Utakutana  Na Mtu Atakayekuonyesha Jinsi Upendo Wa Kweli Ulivyo

Ipo siku , mtu fulani atabadilisha maisha yako. kwa sababu atakuonyesha upendo wa kweli ni upi na maana ya upendo ni nini, unaonekanaje. Atakuonyesha kuwa upendo hauna mwisho. na hutamkimbia , na hutaweza kutaka  faida  zaidi. hutapigwa na wala kupata maumivu yasio na msingi.

Ipo siku Hutaogopa kupata maumivu. Hutaogopa kuacha tena.  kwa kupoteza kipande cha moyo wako  na roho yako. hutaogopa tena kutoa na kutoa upendo wako .

Siku moja utapumua kwa urahisi kwa kufahamu kuwa huyo mtu hataondoka . Utapumua vizuri kwa kujua kwamba upendo huo utadumu.  Huyo mtu hatakutelekeza na wala hataweza kukukimbia. Utafahamu toka moyoni mwako kwamba upendo huo hautakuumiza.

Utaweza kuishi, kucheka, kulia  na kupumua kwa urahisi ukiwa pembeni ya mtu huyo. Utajifahamu na kujiona vizuri.  Utaweza kumuonyesha makovu,  na vidonda ulivyonavyo na kwa kuwa vimepona.  Utaweza kumuonyesha mtu huyo  moyo wako wote kwa kujua kuwa hawezi kukuacha.

Ipo siku utajikuta unaamka mikononi  mwake, ukiwa karibu yake kwa upendo , katika maisha yako. hutakuwa na wasiwasi . hutaogopa.  hutasikia uzito wa kupumua tena.

Utahisi upendo ndani yako. mwisho utagundua Upendo halisi.

Washirikishe wengi.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here