Screen-Shot-2015-07-31-at-2.13.16-PM Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

Achana na sababu kubwa kubwa , Badala yake pata Suluhisho la kukuwezesha kufanya  sex .

Wanawake tu viumbe wa miujiza, usikubali mtu yeyote kukuambia  vinginevyo . Tunamiliki miili mizuri ambayo ina uwezo wa kutosha kuhimili vishindo vingi. Hii ina maana kwamba unastahili na una thaminika  katika kuwa na maisha ya kushiriki tendo la ndoa . Unastahili kupata faida kwenye tendo hilo ambalo ni afya kwako.

Hii ni tofauti na mazoezi ya kupunguza kalories mwilini mwako. kwa hio kwa nini  usiwe na muda mzuri wa kufurahia na mwenza wako badala yake unasingizia maumivu mbalimbali?  Tuongee kuhusu kwa nini na jinsi gani unaweza  kuanza kuwa na muda mzuri bila ya sababu.

Nina maumivu ya kichwa.

open-uri20130823-19022-1tmn4pp-1 Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

Maumivu ya kichwa ni sababu ambayo imezoeleka. Kama kweli una maumivu yasiosikia dawa,  muone  mtaalamu.  Kama  uko kwenye matumizi ya vidonge na vinaharibu hamu yako  na vinakudhuru  ni vizuri pia kuongea na wataalamu wa masuala ya uzazi  kuhusu vidonge hivyo. Afya nyingine ya akili , kama wasiwasi  na huzuni  hizi ni  zaidi ya sababu zingine?  Kama ndio hivyo basi kuwa wazi ongea na mtaalamu . Huhitaji kubaki katika kukwama  mahali pamoja. Unastahili kuwa na furaha.

Tendo La Ndoa Linakuboa.

image Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

sababu nyingi

Wanandoa wengi huwa wanaboreka   kufanya sex mahali hapohapo kila siku, mwezi , miaka, na mtu huyo huyo. Haijalishi unampenda vipi mwenza wako. Mazoea ya mahali pamoja yanachosha.

Zipo njia mbalimbali ambazo huenda hujajua zinakusubiri wewe uzijue.  Kama wewe umezoea kusex muda wa Usiku tu kwenye giza, jaribu kufanya sex muda wa mchana na mwenza wako, mahali ambapo pana mwanga wa kutosha. Au mnaweza kusafiri  mara moja kila baada ya miezi kadhaa. Au kama mna uwezo mnaweza kwenda Hotelini  kulala huko , mahali ambapo hapatakuwa na usumbufu wa aina yoyote.  au wakati mwingine  mnaweza mkafanyia kwenye kochi kama mko wenyewe , wawili tu.

Halafu wakati mwingine jaribu kubadilisha mwelekeo wa kitanda. ni vitu vidogo lakini vinasaidia kuleta sura mpya, hali mpya,  hamu mpya. kama utajaribu kitu  bila ya kufanikiwa, usikate tamaa, endelea kujaribu, kujaribu, utapata majibu mazuri.

Nimechoka sana

02-reenergize-after-lunch-sleep-schedule-sl Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

 

Ni kweli . umesikika. Wote tumetumia mbinu hizo za kulala kidogo kwanza.  Wote tuna masaa 24 kwa siku, siku nane kwa wiki,  Tukiwa na simu zetu, laptop, watoto, kazi,  stress. Hapa nakuletea dawa ya pumziko lako. Sex ni dawa ya usingizi wako endapo utafanya kwa moyo na kwa kupenda na kufurahia.  Sio tu inakupa kulala kwa urahisi bali wachunguzi wanasema kuwa  sex inaboresha na kuongeza kiasi cha  estrogen , unaweza kuamini hilo?  Kwa hio kwa kadri unavyokuwa positive ndivyo maisha yako ya sex yanavyoboreka. Na wote mtakuwa wini-win!

Nachukia mwili wangu.

black-woman-1024x576 Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

Wanawake wengi huwa wanasikia aibu  wanapokuwa na miili mikubwa au mwembamba kupita kiasi. Vyovyote ulivyo. Wewe ni mzuri. Unapendeza na uko sahihi. Mwili wako ndio mwili wako. kama ukiamua kubaki hivyo na kujikubali na kujipenda. Maamuzi ni yako katika kujiweka fit.  Yote hio itaanza baada ya kutambua kujikubali na kujijali. Ukijitazama kwenye kioo, jikubali,Usijilinganishe na mtu yeyote.  Models au  reality queens, au jirani yako. Kama moyo wako unadunda sasa. Unastahili shinikizo.  Wewe ni wa thamani na unastahili kupata furaha.

Nina Watoto.

hqdefault Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex

Kama wewe ni mama, ni mmoja wa watu wenye kufanya kazi ngumu sana kwenye sayari hii. Shule watoto na kuandaa chakula. inaonekana kama unaweza kuwa na pressure. Lakini hapa kuna njia. Mama ambaye anajipenda, atawalea watoto wake kwa upendo,  atafikiria muda wa kufanya sex kwa sababu ni sehemu ya maisha yake, na ni sehemu ya kujijali. Kama maisha yanakupa stress,  Ukipata sex nzuri  utaondoa stress zako zote.  fanya hivyo. Hakuna sababu sababu.  Pata sex yenye afya,   na sex unayofanya kwa kupenda na kufurahia  utafaidika. Lakini sex ambayo utalazimishwa , utaweka sumu akilini mwako na mwilini mwako. hutakuwa mtu mwenye afya tena. Acha kujitesa mwenyewe bila ya kuwa na shauku na furaha ya kufanya hivyo. Furahia sex.

Sina Muda.

n-WOMAN-AT-WORK-628x314 Jinsi Ya Kuacha Tabia Zenye Sababu Ya Kutofanya Sex
sina muda

Kila mtu yuko Busy zaidi. Na hii ni kweli. Lakini hatuwezi kupata muda wa miujiza kwa kitu chochote. Tunahitaji kupanga muda  kwa kitu ambacho ni muhimu  kwetu. Unaweza ukawa unapanga muda wa sex katika  list yako ya kufanya kazi kwa siku. Pata muda wa kukaa pamoja na mwenza wako. Kwa wale ambao wana uwezo  wa kuwa na mabafu mazuri , mnaweza kuoga wote pamoja wakati mwingine. Hata bafuni kuna raha yake mnapoamua kufanya hivyo .Kupata muda wa kukaa na mwenza wako  ni afya  na ni sehemu ya kujali.

Kwa hio nafahamu kuwa Hakuna sababu ambayo itakuzuia tena kushiriki tendo la ndoa kwa furaha na kwa upendo.

Mungu akiwa Upande wenu ni nani atakayezuia. Hakuna.

kama umependa makala hii washirikishe wengine. kisha toa maoni yako.

Usisahau  Subscribe kupata makala mpya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here