Kiini Cha Mbinu Ya Furaha Hakuna Mtu Amewahi Kukufundisha


friends-1 Kiini Cha Mbinu Ya  Furaha  Hakuna Mtu Amewahi Kukufundisha

Maongezi , makala na vitabu  vinatufundisha zaidi, tusihofu,jisikie vema. kama mwandishi wa makala hii  katika love life,  ninakusaidia . Ingawa wengi wetu hatujawahi kujua  hata mbinu moja  ya kuwa na maisha  ya furaha.

Jifunze Kuwa Na Raha.

Ukweli ambao haujaongelewa  unaweza ukakufanya ujisikie hofu kidogo. Raha  inaweza kukufanya utembee bila viatu. katika maisha yaliojaa  mambo yasiotegemewa, furaha inaweza kuwa ya muda mfupi na inaogopesha hata kuamini wakati mwingine.

Mara nyingi – hata bila ya kutambua –  tunaacha  yaliopita  kimya , kindani ndani katika raha na kutafuta furaha. kwa mfano. tunapojisikia vizuri kupongezwa au kusifiwa kwa jambo fulani tunasikia raha. tunajaribu kupunguza  hisia zetu,  kwa kile ambacho tumekisikia.

Hii ni hekima ya mabadiliko ya maisha, lakini  ni nusu tu ya ukweli. katika uzoefu wangu, wasiwasi mwingi ni kukimbia kutoka katika kujua ukweli wa raha.

Raha hutufanya kuwa makini katika kujilinda na tatizo.  tunaweza kutunza raha kwa  kuishi wakati uliopo tu, lakini kwa kipindi kifupi,  tunaweza kujikuta katika matatizo mengi , katika jamii ya kisasa,  kuna majina mengi yasio na umuhimu kuhusu raha , yamefunikwa na mask .

Ukweli , Raha sio kitu rahisi. Kwa njia yake yenyewe,inaweza kuwa ngumu kuipata. Moja ya kazi ngumu na kubwa sana kwa kila mtu ni kutafuta  Furaha ya ndani katika maisha ili kujifunza kutunza Raha, Ili iweze kudumu.

Hata hivyo hakuna mtu kati yetu amewahi kuambiwa kitu kama hiki. hata jinsi ya kutunza

Kama huzuni,hatuwezi kutunza raha  yetu hata kidogo kwa wakati mmoja. Inahitaji nguvu ya ziada  kuijenga- Mbinu ya kujifunza, kidogo kidogo, Tunaweza kujifunza kutunza raha kwa muda mrefu na kuwa na nguvu hio .

Utakuta wengi hufundisha wengine kuwa na raha lakini wao wenyewe hawawezi kutunza hio raha. Wengi hulitambua hili kuwa raha huwa inakuja yenyewe. Na kama una raha hutakiwi kusema unayo raha. Maana pindi utakaposema tu, inatoweka. Kwa hio ni vizuri kuacha raha ijishughulikie yenyewe. Unaweza kuona kama haiwezekani .  Lakini kazi kubwa iliopo ni kutunza hio raha ili iwepo ndani yako zaidi na zaidi.

Raha inapoondoka ni kama kuwa mbali na Mungu. Pale unaposikia kutengwa na Mungu, Unajiona kukataliwa na kila mtu na kila kitu kinakukataa. Kila unachojaribu kukifanya hakiendi, ndivyo ilivyo kujaribu kurudisha raha ndani yako.

Kitu Gani Kinalinda Raha.

Meditation

Kila wakati unaposikia  Raha, Furaha, Amani, au kuwa na siku nzuri  katika maisha yako kila siku, usifahamu tu na kuendelea na mambo yako. Jaribu kuchukua muda wa sekunde 30 zaidi  au jaribu kutunza hisia hizo nzuri kwa kutafakari. acha ziingie ndani mwako.fahamu ladha yake. Unapoona inaiva , songa mbele. unaweza ukawa unafanya hivyo kila mara

Hata wakati unapopata kitu chochote unachokipenda , hakikisha unasikiliza ndani yako furaha , raha na  amani  ipo ndani yako. Kila unapofanya hivyo unaongeza nguvu ya kukua kwa raha ndani yako, Na maisha yako yatakuwa na Amani nyingi.

Subscribe kupata makala mpya.

Previous Unahitaji Kufahamu Vitu 11 Kuhusu Process Ya Uponyaji
Next Ufanye Mwaka 2018 Uwe Mwaka Wa Tofauti Kwako Kwa ...

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.