KITU GANI KINALETA UFANISI KWENYE MAWASILIANO?


effective-communication-skills-7-728 KITU GANI KINALETA UFANISI KWENYE MAWASILIANO?

Kila mara  tunahitaji  mawasiliano yenye kueleweka, mawasiliano yenye maana ,kwanza inkubidi ufikirie vipengele viwili muhimu;

 Watazamaji na Lengo. Unahitaji kuelewa  hitaji la mawasiliano yako. Sababu ni kwamba  watazamaji huhitaji  kuona vitu tofauti ili kuwapata  wapende hilo lengo.

Kusudi la mawasiliano  ni kupata watazamaji   wanaotaka malengo, mahali ambapo  lengo linaonyesha maana , linaelezeka,  kuwashawishi au kupata watazamaji  wanaochukua hatua. Lengo lako linaweza kuwafanya wacheke  au walie-lakini  mawasiliano ya kisayansi  kwa ujumla  sio tatizo. Ukiweza kuwaleta watazamaji  kwenye kutamani lengo, utaweza kusema kwamba mawasiliano yamefanikiwa.

Mawasiliano Yenye Mafanikio ni

Watazamaji ————————–Lengo.

Kwa Mfano ;Watazamaji Wawili, Malengo Mawili.

Fikiria  wewe ni mtabiri wa hali ya hewa, unajaribu kuwasiliana na mwanasayansi wa rika lako na wa pili  ni  watengeneza  sera. Kwa kesi ya kwanza  lengo lako lilikuwa  ni kuwakilisha uchunguzi wako  kwa mwanasayansi ambae anaelewa   sayansi vizuri kwa kile ulichofanya. Unataka kumjulisha na kumshawishi kwa ajili ya  kukusaidia data zako. Katika kesi ya  watengeneza sera , unahitaji   wachukue hatua ya kulinda mazingira .hawaelewi kuhusu sayansi hata kidogo kwa ulichofanya  na wanatamani kujua kitu gani umegundua .

Ni lazima mawasiliano ya kesi zote mbili ziwe sawa? Hapana  hata kidogo.huwezi kufanikisha malengo yote  kama  utatumia njia  moja ya mawasiliano.  Unaweza ukashindwa  katika kesi zote. Na hii ndio maana  ngumu kuelewa  ni nani  mtazamaji wako  na  lengo lako lilikuwa nini  kabla ya kuanza kuandaa  mawasiliano yako . mawasiliano yako yatafanikiwa  kama watazamaji wako  watafikia lengo  ulilotaka liwe.

Ufanisi Wa Mawasiliano.

1-300x199 KITU GANI KINALETA UFANISI KWENYE MAWASILIANO?

Ili mawasiliano yawe na ufanisi  ni pale watazamaji  wanapofikia  lengo  kwa umaizi,  bila nguvu. Ina maana kwamba  wanapopata mawasiliano yako , hawahitaji kufikiria  kuhusu njia gani  umetumia ,  ila wao wapate tu ujumbe ya kuwa unahusu nini.

Utafanikiwaje? Njia tofauti ya mawasiliano  inahitaji kanuni tofauti  ilikuifanya njia iwe wazi  inayowezekana .  baadhi ya kanuni  ambazo hutumiwa   kwa njia zote  zinatokana na kisakolojia, kama vile  mtazamo. Unahitaji kulenga kila kitu  kinachoboresha ufanisi  wa taswira ya mawasiliano.

Ni lini Utahakikisha Unawasiliana kwa Ufanisi?

Wingi wa mawasiliano tunayofanya kila siku za maisha yetu  ni  mafanikio madogo. Tunafahamu kutengeneza tabia zetu,  kubadilisha njia /kufikia.  kama tuaanza kuona  hatupati ujumbe . ingawa  kwa ajili ya mawasiliano kuwa na ufanisi , inabidi kuweka nguvu zaidi  kwanza  zinazohusu  kanuni  na baadae kuandaa  na kupeleka  ujumbe wetu kwa kila mahali na kila muda.

Inaweza ikawa sio rahisi kuyatengeneza  mawasiliano yako ya kila siku.kwa hali yoyote unahitaji  kufikiria kuhusu  umuhimu zaidi wa  kushughulikia mawasiliano  kwenye biashara na kwenye mahusiano. Ambavyo ni muhimu zaidi  na ni lengo gani la kwao na la kwako  mnalotaka kulifikia? Kitu gani utajifunza kuhusiana na watazamaji  kuwaelewa vema? Haya ni maswali  unayohitaji kujiuliza  kama unahitaji  kuwasiliana kwa ufanisi.—hasa kama  wengi ni wadau.

Previous Mauris ex diam porta vel nisl ac bibendum
Next KUCHAGUA MAFUTA NA AFYA.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.