Kitu gani wanawake wanataka?
Haya ni maswali wanaume wengi wamekuwa wakiulizana wenyewe kutoka karne na karne na bado hawajapata jibu.
Kusema kweli siku hizi inaonekana wanaume na wanawake wamekuwa wakitengana sana kuliko kabla. Kutokuelewana, taarifa za mitandao na tamthilia za kwenye TV zinawafanya wanaume washindwe kufahamu jinsi ya kutenda na hawaelewi kama wanafanya kitu sahihi.
Wanawake kwa upande mwingine, wamekuwa na sababu zisizo na msingi , wanatarajia mambo makubwa na mara nyingi wanajikuta wanakata tamaa wakati bado hata hawajakutana. Hii inasababisha maumivu katika yote, ingawa vitu vinakuwa rahisi. Wakati nilipomuuliza rafiki yangu, kwamba unatafuta nini kwa mwanaume na nini hakitaki kwao, jibu lilikuwa rahisi.
Anataka: tabia ya heshima, mwenye ucheshi.
Sitaki: mtu wa jujuu, mbichi asielewa, mbuguzi.
Na kimoja muhimu sana sana, kweli, kama utakumbuka kanuni zifuatazo, kila kitu kitakwenda sawa chenyewe mahali pake. Njia ya kumteka mwanamke sio mradi kumuona tu, lakini ni kumsikiliza .
Kuongea Ni Ufunguo.
Ndio, Sex ni nzuri lakini vipi kuhusu companionship, urafiki, kuongea? Kwa mahusiano kufikia mwisho zaidi ya tamaa huwezi kuhitaji mapenzi tu, lakin pia kibali cha kupata mvuto zaidi.Kuchukulia maslahi na kutoa mwaliko kidogo. Hisia za kuwa na umuhimu kwa mtu ambae anakuthamini na kukuheshimu ni zaidi kubwa kuliko chochote ulichowahi kufanya. Tumieni muda kidogo kuongea pamoja, au kuangalia TV kwa pamoja, ni vizuri kumfahamu mtu ulienae.
1.Mfanye Ajisikie Anahitajika.
Hakuna kitu anasema,’’ I care’’zaidi kuliko ishara kwamba unaonyesha kiasi gani unampenda. Kitu fulani kinachoonyesha kuwa uko tayari kufanya chochote kwa ajili yake sasa na hata mwisho. Kutochukua macho, ‘’ wewe ni wangu sasa’’ mambo, lakini a romantic way, kwa kuvutia.Ni ishara gani utaonyesha kwa mwanamke aweze kujiuliza maswali, na unatakiwa uwe nazo hizo.Ndio, ni kweli unatakiwa kufanya kwanza mada ya kwanza.
2.Usitengeneze Mawazo.
Kwa sababu tu uko na mwanamke haimaanishi kuwa uanze tu kumuwazia mambo mengine. Hasa mnapokuwa mmetoka wote. Unaweza hata kumnunulia zawadi yoyote anayoipenda, maana kila mtu anakitu anachokipenda na asichokipenda, labda anaweza kuwa anapenda DVD kwa ajili ya show fulani anayoipenda. Fahamu kuwa ndio hicho anahitaji na zawadi yako itakuwa na thamani kwake, na wewe utajisikia kuthaminiwa.
3.Toa Muda.
Zawadi nzuri ni muda, kama uko kwenye kazi isiokuwa na muda , mara nyingi mahusiano yako yataathiriwa na kazi yako ya busy muda wote. Na hii husababisha matatizo mengi sana, na mara nyingi hufikia mwenza wako kujiona kutelekezwa, kwa baadhi ya sababu hizi utapelekea kupeana talaka au kuvunjika kwa mahusiano mazuri.
Usiache mahusiano yako yafe kwa aina hio. Kama unajisikia hivyo kwamba unamwona bosi wako zaidi kuliko unavyomuona mke wako, tafuta siku za jioni mwende kupata Dinner pamoja na umuulize kama umekuwa mbali nae sana. Na kama atasema ndio, jieleze unachokifanya na kwa nini umekuwa ukionekana kwa muda mfupi kwake. Halafu tafuta kitu cha kuwaweka pamoja kwa siku hio hata kwa muda mfupi.
Kupata muda huo mdogo wa wawili ni ufunguo: nafasi mbili kwa ajili yenu kuongea tu, kama kuna kitu kilijitokeza . Mnaweza pia kutumia ujumbe mara nyingi ili kuweka mvutano kati yenu, mambo yanakuwa sawa pale kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake.
4.Ukweli.
Kama unajisikia kushuka moyo, una huzuni, mgonjwa au hauna furaha kabisa, kama kuna kitu kibaya kimetokea mwambie mke wako.Kuficha matatizo huzaa shida. Kama kuna kitu akilini mwako, kitoe mapema. Usipoteze muda kusubiri muda sahihi wa kuongea hicho,Usifikiri mambo hayo yataondoka yenyewe. Urafiki wa mke na mume ni kutoa na kupokea, kujali na kuchangia, Anaweza akapenda kukusaidia, lakini hawezi endapo hatakuwa na ufahamu kuwa unaumizwa na kitu.
Mbinu hii imefanya kitu ? ndio kimefanya kazi, hapa kuna moja ya marafiki zangu hupenda kusema kuhusu uwazi na uwajibikaji wa mume alienaye.
Nilimpenda mume wangu kwa mapenzi yake,kiasili ndani yangu, lakini pia ukweli ni kwamba tunafanana tabia zetu za ucheshi. Sisi wote pamoja tunapenda jamii hatuna mambo ya mitindo mikubwa, kwa hio najisikia kukamilika kwa urahisi nikiwa naye katika matarajio yangu yote maishani.
Unaonaje maneno ya rafiki yangu, hivi si ndivyo wote tuvyotaka?
=kwa nini usijaribu kusafisha mahusiano yako
=tabia 7 za wanandoa wenye furaha
Umeipenda hii makala? shirikisha na marafiki wajifunze. kisha toa maoni yako.