Kuamini Mioyo Yetu Na Silika Zetu


7040000985_d Kuamini Mioyo Yetu Na Silika Zetu

Wote tunatamani kujiamini. Tunataka kuamini kwamba ipi misingi  ya wema  ndani yetu, Uwezo wa kupenda, kuwa wakweli, kuwa na Hekima na kuhudumia  Ulimwengu wetu.

Ukweli uliopo ndani yetu unatuathiri maisha yetu. Unaharibu umuhimu wa  kupenda wengine, na uwezo wetu wa kufahamu kutulia  na kufurahia nyakati nzuri.

Njia Ya Mabadiliko.

Kutoka kwenye mitazamo ya mabadiliko, Kutokuamini kwetu kunatokana na  muundo wa ubongo wetu. Jinsi tulivyojengewa akili zetu. Ndani ya Ubongo kuna utengano na vitisho, unatuendesha  kwa tabia za woga. Unatofautisha uwezo wa kuamini misingi ya wema na kulinganisha . katika kiti cha uelewa, huruma na  kuwepo kwa wakati.Njia ya mabadiliko yetu  inatubadilisha kutoka kwenye usalama na kutupeleka pasipo na usalama. unatutenga . Ili tufahamu kwamba  kupenda kupigana na umaskini ni kawaida yetu.Lakini sio.

Ziko njia mbili tu za moja kwa moja za kuwezesha mabadiliko haya. Kutunza ufahamu wa akili, na kujifunza  kuona wema  ndani yetu na kwa kila mtu.

Kuleta akili ya mawazo mazuri ndani ya maisha yetu

Kwa kutunza akili kwa nia  nzuri, tunagundua kwamba  wakati ulipo ni kiini , na ni wema , wa kuishi. Kuizoesha akili  inaanzia mahali tulipo. tunaanza kutambua kitu kilichopo kati yetu  na furaha,  na mazoezi huleta  akili, zinapokuja nguvu  au hisia za shauku yenye  mashaka, kutokuamini.

Nilipoambiwa kuwa nina tatizo la moyo mkubwa,  nilianza kujaribu kukataa hali hio kidogo kidogo bila ya kutumia dawa, kukataa mawazo ya kuwa nina tatizo hilo. Nilitaka kujiona katika uhalisia wangu, nipate mwanga  na hekima  na kupenda hio hali.

Nilijaribu kwa hali ngumu sana , lakini kwa kadri nilivyokuwa najaribu , niliona ugumu uliopo wa kujiamini mwenyewe. kutulia  katika mawazo mazuri. Kufanya mazoezi kila siku . kujaribu kusikiliza mapigo ya moyo wangu yanavyobadilika.

Ingawa hali yangu ilikuwa bado haijabadilika, lakini niliendelea kukiri kuwa nimepona, japo nilikuwa sijiamini mwenyewe ndani yangu. sikuwa najipenda mwenyewe, ingawa nilianza kujijali kwa kiasi hicho, lakini sikujiamini .

Katika kutumia kimvuli hicho , kitu kikubwa kilitokea . Niliona tofauti  ya mapigo ya moyo wangu , wakati wa usiku nilipokuwa nimelala , hata nikijifunika usoni nilipumua vizuri. sikutafuta hewa nje tena. Ilikuja kama wingu kwa jinsi nilivyokuwa mkamilifu.

Hio ni historia yangu, jinsi ambavyo niliweza kujaribu  kujifahamu  wakati huo, katika hali hio, kujifanyia wema,  nilifanya kujaribu kujiamini kwa kutumia  shahidi wangu wa ndani , ilikuwa ni badiliko kubwa.

Akili hii inaweza kumbadilisha mtu yeyote . Bado inafanyika. Lakini fanya bila ya kujilaumu au kumlaumu shahidi wako wa ndani. Kuanza kujiamini kuwa sisi ni kina nani ni siri kubwa, ya ndani, na ni nzuri kuliko  mawazo yetu ya muda , kuhisi kwetu na tabia zetu.  Badiliko hili linatupa uhuru  wa kuishi ulimwenguni  kwa njia ya uponyaji.  Tunapokumbuka kupenda ufahamu  kama chanzo cha  kuishi kwetu,  Hekima ya Mungu  iwepo kwetu kawaida na huruma  ipite ndani ya akili  na mwili.

Kuona Wema Ndani Yetu Na Kwa Wengine.

gut-instincts Kuamini Mioyo Yetu Na Silika Zetu

Njia nyingine ni kuangalia  uaminifu wa maisha yetu na wengine kwa nia ya kutazama mazuri ndani yetu na wengine. Tuangalie tabia zetu , ni wapi tunakosea. Tunaweza kukumbuka kitu gani tunakipenda , ucheshi wetu, ukweli wetu, uwezo wa kufahamu. Na tuone sifa hizi kwa wengine pia. Kwa kadri tunavyoweza kujiamini wenyewe, ndio tutazidi kuwaamini na wengine.

Tunapoona mazuri kwa watu  tunapata zawadi ya uponyaji. Kumfanya mtu ajione kukubalika  ni upendo  mzuri hasa tunapowamulika  katika mazuri yao hasa wanapokuwa kwenye matatizo na mashaka.

Jaribu kumleta mtu akilini mwako ambaye  anaweza kupenda kwa urahisi. fikiria inavyokuwa inagusa moyo wako, chukua muda wa kuhisi upendo huo, kwa akili hio katika kuishi kwa upendo huo.  Fikiria huyo mtu anapokuwa na furaha, upendo, na kuwa katika hali ya uhuru. fikiria wema  na wewe ufanye kama hivyo na kuonyesha jinsi unavyojali.Tazama nini kinatokea unapofanya hivyo.

Kama kila mtu atakuwa na jicho la Mungu. Kama tu wataweza kujiona  jinsi walivyo. Kama kila mtu atamuona mwenzake kwa njia hio kila mara, kungekuwa hakuna vita,  chuki, Wivu,  Hasira na ukatili. Wote tungekuwa tunaabudiana.

Kila mara tunashambuliwa na taarifa za kutukatisha tamaa. Lakini  haijalishi hali ya Ulimwengu, Kila mtu anaweza kuchagua , Wakati huu. Kurudi wakati uliopo na kupenda. Ni uamuzi. Tunaporudi kwenye akili ya utulivu, tunakuwa na huruma  kwenye mashaka yetu wenyewe na woga, lakini tukitambua wema kwa ajili yetu na wengine wanaotuzunguka , Tutaanza kujiamini na kuwaamini wengine .

Toa maoni yako kusaidia wengi

Kisha Subscribe kupata  makala unazozipenda.

Previous Kiasi Gani Cha Sukari Kinafaa Kula Kila Siku?
Next Kama Unataka Kuona Upendo Wa Kweli

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.